OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Wakati mashabiki wa SSC wapo kwenye shangwe la ushindi, mimi Omoyogwane kuna kitu nakiona ambacho wengi hamkioni.
Kocha Fadlu mbinu zake ni zile zile hii mechi ya 11 makocha wa mikoani washaanza kumuelewa na kutafuta muarobaini wa mbinu zake
Kikawaida hupanga mabeki wanne nyuma ambao hutengeneza shape ya herufi "U" na huwa hawapandi mbele sana wao huweka makazi yao karibu na kipa, wanahusika katika kuanzisha mashambulizi na kuzuia wakati huo wachezaji wengine hujazana mbele kwenye lango la mpinzani.
Hii humfanya mpinzani apaki bus mwisho wa siku atajikuta anafanya makosa na kusababisha penati ndio maana magoli mengi ya Simba ni ya penati.
KOCHA FREDRICK MINZIRO AMSOMA FADLU
Mechi ya pamba jiji vs Simba ktk kipindi cha kwanza George mpole hakufurukuta sababu alijikuta yupo peke yake akikabwa na mabeki wanne
Ktk kipindi cha pili Kocha wa Pamba akaingiza washambuliaji watatu na wibga mmoja kazi yao ikiwa ni kukaa man to man na mabeki wa simba ili wasianzishe mashambulizi kutokea nyuma huku sehemu ya wachezaji wa pamba iliyobaki ikipaki bus na kusukuma mipira mirefu mbele kuwatafuta washambuliaji watatu wa pamba
Hii iliwavuruga mabeki wa simba wakaanza kufanya makosa hadi kapombe akapigwa kadi ya njano kwa kumvuta mpole makusudi aliyekuwa anaenda kufunga
Kipa Camara akawa analazimika kupiga mpira mbele
Moja kwa moja
Fadlu akaanza sub za hapa na pale lakini hazikuleta unafuu
Pamba wakawa wanashambulia kwa mashuti hatari kwa kutumia washambuliaji watatu kama sio ubora wa kipa Camara SSC wangepoteza.
Pia wachezaji wa Simba wameanza kufanya udanganyifu unakuta faulo kafanya mtu wa SSC cha ajabu yeye ndio analala chini na kujifanya kafanyiwa yeye( hii kiufundi ni udangwnyifu).
KWANINI FADLU HANA MAISHA MAREFU SSC
Sababu ni kwamba makocha wa mikoani washaanza kumsoma pia wanatumia mbinu za kuchezesha viungo na washambuliaji wengi kama alivyo asisi Gamond
Mpira upo kwenye mapibduzi
Nawasilisha.