Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda uliona picha yangu ya Mwaka 47Babu mjanja sana kuna siku niona umevaa saa Og ya Audemars piguet royal oak nikaogopa🤔🤔🤔
Kama uliangalia mpira WA Jana basi elewa Fadlu bado yupo yupo Sana! Pamoja na kukamia Sana Pamba wamshukuru Sana Refa, kwani Ile faulo ya aliyofanyiwa Ateba ilitakiwa pamoja na penalty lakini pia na kadi nyekundu ilitakiwa itolewe. Kwa maana iyo wangekuwa 10 Pamba wangeoga mvua ya magori.Wakati mashabiki wa SSC wapo kwenye shangwe la ushindi, mimi Omoyogwane kuna kitu nakiona ambacho wengi hamkioni.
Kocha Fadlu mbinu zake ni zile zile hii mechi ya 11 makocha wa mikoani washaanza kumuelewa na kutafuta muarobaini wa mbinu zake
Kikawaida hupanga mabeki wanne nyuma ambao hutengeneza shape ya herufi "U" na huwa hawapandi mbele sana wao huweka makazi yao karibu na kipa, wanahusika katika kuanzisha mashambulizi na kuzuia wakati huo wachezaji wengine hujazana mbele kwenye lango la mpinzani.
Hii humfanya mpinzani apaki bus mwisho wa siku atajikuta anafanya makosa na kusababisha penati ndio maana magoli mengi ya Simba ni ya penati.
KOCHA FREDRICK MINZIRO AMSOMA FADLU
Mechi ya pamba jiji vs Simba ktk kipindi cha kwanza George mpole hakufurukuta sababu alijikuta yupo peke yake akikabwa na mabeki wanne
Ktk kipindi cha pili Kocha wa Pamba akaingiza washambuliaji watatu na wibga mmoja kazi yao ikiwa ni kukaa man to man na mabeki wa simba ili wasianzishe mashambulizi kutokea nyuma huku sehemu ya wachezaji wa pamba iliyobaki ikipaki bus na kusukuma mipira mirefu mbele kuwatafuta washambuliaji watatu wa pamba
Hii iliwavuruga mabeki wa simba wakaanza kufanya makosa hadi kapombe akapigwa kadi ya njano kwa kumvuta mpole makusudi aliyekuwa anaenda kufunga
Kipa Camara akawa analazimika kupiga mpira mbele
Moja kwa moja
Fadlu akaanza sub za hapa na pale lakini hazikuleta unafuu
Pamba wakawa wanashambulia kwa mashuti hatari kwa kutumia washambuliaji watatu kama sio ubora wa kipa Camara SSC wangepoteza.
Pia wachezaji wa Simba wameanza kufanya udanganyifu unakuta faulo kafanya mtu wa SSC cha ajabu yeye ndio analala chini na kujifanya kafanyiwa yeye( hii kiufundi ni udangwnyifu).
KWANINI FADLU HANA MAISHA MAREFU SSC
Sababu ni kwamba makocha wa mikoani washaanza kumsoma pia wanatumia mbinu za kuchezesha viungo na washambuliaji wengi kama alivyo asisi Gamond
Mpira upo kwenye mapibduzi
Nawasilisha.
5 tena. Umetegua kitendawiliKama una akili, sub za Jana ni kwa sababu ya mechi ya wiki ijayo ya kimataifa.
Mnajipa moyo mnashindwa kutambua Simba wamejitoa mhanga kufanya kile ambacho Yanga wamekiogopa. Kucheza mechi wakati una mechi kubwa ya kimataifa huwezi kujitoa kikamilifu kwa sababu ya kuogopa majeraha,Kipindi cha kwanza Simba walicheza kwa kushambulia vizuri, walipopata goli kipindi cha pili wakapumzisha wachezaji wao muhimu.Halafu unaizungumzia timu iliyoshinda na sio kufungwa au drawNakuunga mkono 100% kwa asiyejua Mpira kiufundi atakubishia kwakuwa ni wale mashabiki oya oya wao wanachoangalia ni matokeo tu, but kiufundi tiyali nilishaliona ilo kwenye mechi 4 za Simba zilizopita, kocha Minziro alimsoma vizuri na kama sio goli la penalty walilopata Simba walikuwa wanadondosha point, kiufupi makocha wameanza kumjua vizuri mbinu zake ni zile zile abadiliki anapokutana na kocha mzuri anapata tabu kwelikweli kupata matokeo!
Pamoja na hadithi ndefu uliyotusimulia
Full time
Pamba Jiji 0 - Simba SC 1
Kwako Mchambuzi
Mmehamisha goli?! Si mlisema hafiki Krismass..ameondoka Gamond kabla ya Krissmass na ungekuwa na Akili zinazochemka ungeandika Saed wa Utopolo hafiki Pasaka.Wakati mashabiki wa SSC wapo kwenye shangwe la ushindi, mimi Omoyogwane kuna kitu nakiona ambacho wengi hamkioni.
Kocha Fadlu mbinu zake ni zile zile hii mechi ya 11 makocha wa mikoani washaanza kumuelewa na kutafuta muarobaini wa mbinu zake
Kikawaida hupanga mabeki wanne nyuma ambao hutengeneza shape ya herufi "U" na huwa hawapandi mbele sana wao huweka makazi yao karibu na kipa, wanahusika katika kuanzisha mashambulizi na kuzuia wakati huo wachezaji wengine hujazana mbele kwenye lango la mpinzani.
Hii humfanya mpinzani apaki bus mwisho wa siku atajikuta anafanya makosa na kusababisha penati ndio maana magoli mengi ya Simba ni ya penati.
KOCHA FREDRICK MINZIRO AMSOMA FADLU
Mechi ya pamba jiji vs Simba ktk kipindi cha kwanza George mpole hakufurukuta sababu alijikuta yupo peke yake akikabwa na mabeki wanne
Ktk kipindi cha pili Kocha wa Pamba akaingiza washambuliaji watatu na wibga mmoja kazi yao ikiwa ni kukaa man to man na mabeki wa simba ili wasianzishe mashambulizi kutokea nyuma huku sehemu ya wachezaji wa pamba iliyobaki ikipaki bus na kusukuma mipira mirefu mbele kuwatafuta washambuliaji watatu wa pamba
Hii iliwavuruga mabeki wa simba wakaanza kufanya makosa hadi kapombe akapigwa kadi ya njano kwa kumvuta mpole makusudi aliyekuwa anaenda kufunga
Kipa Camara akawa analazimika kupiga mpira mbele
Moja kwa moja
Fadlu akaanza sub za hapa na pale lakini hazikuleta unafuu
Pamba wakawa wanashambulia kwa mashuti hatari kwa kutumia washambuliaji watatu kama sio ubora wa kipa Camara SSC wangepoteza.
Pia wachezaji wa Simba wameanza kufanya udanganyifu unakuta faulo kafanya mtu wa SSC cha ajabu yeye ndio analala chini na kujifanya kafanyiwa yeye( hii kiufundi ni udangwnyifu).
KWANINI FADLU HANA MAISHA MAREFU SSC
Sababu ni kwamba makocha wa mikoani washaanza kumsoma pia wanatumia mbinu za kuchezesha viungo na washambuliaji wengi kama alivyo asisi Gamond
Mpira upo kwenye mapibduzi
Nawasilisha.
Kwa asili Mzize ni Muislamu. Hapa mtaani alipokuwa anapaki boda boda yake anajulikana kwa jina la thabitiHuko yanga yasemekana engineer alimlazimisha mzize kubadili dini, KUNA UKWELI?
Hiyo mechi ilikuwa na faida kubwa sana kwa Simba.Mnajipa moyo mnashindwa kutambua Simba wamejitoa mhanga kufanya kile ambacho Yanga wamekiogopa. Kucheza mechi wakati una mechi kubwa ya kimataifa
Lakini utabiri wa Gamondi ukakushinda au miwani haikuona?Au utabiri wako ni special kwa Simba tu.Isije ikawa wewe ni wale watabiri uchwara wakujaribu kuona kilichopo kilomita 100 wakati sebuleni kuna kinyesi hawasikii harufu wala kukiona.Nilishawahi kutabiri ninyi mtakua wageni hapa jukwaani
UTABIRI: BENCHIKHA hatakula Krismas hapo msimbazi, atajiuzuru ghafla na kuondoka kuelekea kwao kabla ya 25 Dec 2024
Kwa hii papatupapatu ya Simba, December ni mbali.www.jamiiforums.com