mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Master gamond🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kocha wa utopolo. Mwaka huu mtaumia sana lakini moyoni mwako unajua kabisa kuwa unaandika ujinga?Wakati mashabiki wa SSC wapo kwenye shangwe la ushindi, mimi Omoyogwane kuna kitu nakiona ambacho wengi hamkioni.
Kocha Fadlu mbinu zake ni zile zile hii mechi ya 11 makocha wa mikoani washaanza kumuelewa na kutafuta muarobaini wa mbinu zake
Kikawaida hupanga mabeki wanne nyuma ambao hutengeneza shape ya herufi "U" na huwa hawapandi mbele sana wao huweka makazi yao karibu na kipa, wanahusika katika kuanzisha mashambulizi na kuzuia wakati huo wachezaji wengine hujazana mbele kwenye lango la mpinzani.
Hii humfanya mpinzani apaki bus mwisho wa siku atajikuta anafanya makosa na kusababisha penati ndio maana magoli mengi ya Simba ni ya penati.
KOCHA FREDRICK MINZIRO AMSOMA FADLU
Mechi ya pamba jiji vs Simba ktk kipindi cha kwanza George mpole hakufurukuta sababu alijikuta yupo peke yake akikabwa na mabeki wanne
Ktk kipindi cha pili Kocha wa Pamba akaingiza washambuliaji watatu na wibga mmoja kazi yao ikiwa ni kukaa man to man na mabeki wa simba ili wasianzishe mashambulizi kutokea nyuma huku sehemu ya wachezaji wa pamba iliyobaki ikipaki bus na kusukuma mipira mirefu mbele kuwatafuta washambuliaji watatu wa pamba
Hii iliwavuruga mabeki wa simba wakaanza kufanya makosa hadi kapombe akapigwa kadi ya njano kwa kumvuta mpole makusudi aliyekuwa anaenda kufunga
Kipa Camara akawa analazimika kupiga mpira mbele
Moja kwa moja
Fadlu akaanza sub za hapa na pale lakini hazikuleta unafuu
Pamba wakawa wanashambulia kwa mashuti hatari kwa kutumia washambuliaji watatu kama sio ubora wa kipa Camara SSC wangepoteza.
Pia wachezaji wa Simba wameanza kufanya udanganyifu unakuta faulo kafanya mtu wa SSC cha ajabu yeye ndio analala chini na kujifanya kafanyiwa yeye( hii kiufundi ni udangwnyifu).
KWANINI FADLU HANA MAISHA MAREFU SSC
Sababu ni kwamba makocha wa mikoani washaanza kumsoma pia wanatumia mbinu za kuchezesha viungo na washambuliaji wengi kama alivyo asisi Gamond
Mpira upo kwenye mapibduzi
Nawasilisha.
Hongera Mkuu kuwa mtabiri wetu hapa Jukwaani.Nilishawahi kutabiri ninyi mtakua wageni hapa jukwaani
UTABIRI: BENCHIKHA hatakula Krismas hapo msimbazi, atajiuzuru ghafla na kuondoka kuelekea kwao kabla ya 25 Dec 2024
Kwa hii papatupapatu ya Simba, December ni mbali.www.jamiiforums.com
Ila Manara aliwatukana sana, ila kwa kuwa hawana akili wakakenua tuu.Utopolo wenye akili ni wawili tu
Bora Profesa Nabi aliondoka aliogopa kukopwa mshahara Unajua MTU akikuzoea anakuonea. Hivi hela ya Okra imeshalipwa?Master gamond🤣🤣
Bado wanachangishana.gsm kagoma kulipaBora Profesa Nabi aliondoka aliogopa kukopwa mshahara Unajua MTU akikuzoea anakuonea. Hivi hela ya Okra imeshalipwa?
Nakuunga mkono 100% kwa asiyejua Mpira kiufundi atakubishia kwakuwa ni wale mashabiki oya oya wao wanachoangalia ni matokeo tu, but kiufundi tiyali nilishaliona ilo kwenye mechi 4 za Simba zilizopita, kocha Minziro alimsoma vizuri na kama sio goli la penalty walilopata Simba walikuwa wanadondosha point, kiufupi makocha wameanza kumjua vizuri mbinu zake ni zile zile abadiliki anapokutana na kocha mzuri anapata tabu kwelikweli kupata matokeo!
Uelewa ni mdogo sana kwenu, Sisi tunaongelea mbinu za kiufundi ambazo anazo kocha wenu na atuangalii mechi Moja tu ya pamba, nimekwambia nimefatilia mechi karibu 4 zilizopita mbinu zake ziko vile vile azibadiliki, iyo mechi ya pamba ilikuwa ni mechi ya 5 kumfatilia ivyo isiwe kichaka cha kujifichia juu ya mechi ya kimataifa inayofata!Mnajipa moyo mnashindwa kutambua Simba wamejitoa mhanga kufanya kile ambacho Yanga wamekiogopa. Kucheza mechi wakati una mechi kubwa ya kimataifa huwezi kujitoa kikamilifu kwa sababu ya kuogopa majeraha,Kipindi cha kwanza Simba walicheza kwa kushambulia vizuri, walipopata goli kipindi cha pili wakapumzisha wachezaji wao muhimu.Halafu unaizungumzia timu iliyoshinda na sio kufungwa au draw
Wewe una cheti gani cha Ukocha?.Na niUelewa ni mdogo sana kwenu, Sisi tunaongelea mbinu za kiufundi ambazo anazo kocha wenu na atuangalii mechi Moja tu ya pamba, nimekwambia nimefatilia mechi karibu 4 zilizopita mbinu zake ziko vile vile azibadiliki, iyo mechi ya pamba ilikuwa ni mechi ya 5 kumfatilia ivyo isiwe kichaka cha kujifichia juu ya mechi ya kimataifa inayofata!
nilisikia jina la Kikwete mwingine nani vile?Utopolo wenye akili ni wawili tu
Vipi gongowazi bado una hang over ya viwili?Mechi za makundi kauli mbiu ni kushinda kwanza nyumbani. Muhimu ni pointi.Haya
Simba vs Bravos
Kipindi cha kwanza Bravos wamecheza vibaya wakiwa wanakaa nyuma
Kipindi cha pili kocha wa Bravos kamsima Fadlu kaingia na mbinu ya jykabia mbele
Wakapata penati ila bahati haikuwa upande wa Bravos
Hapa unaona siku akikutana na kocha mzuri watapoteza
Waache wapiga ramli, tumeshawazoea sasa.Acha ramli mkuu,mnyama anatafuna kimtindo huku akiwinda big prey!!.....lembelaga nkoi,dulekelage eSimba ise!
Hakuna timu ambayo haipoteani Man City imepoteana mara ngapi mfululizo na Sindano FC je?.Hakuna timu ambayo haifungwi na Mpira ni mchezo WA makosa. Kunyweni maji mlale maumivu yanaendelea na timu ya MAJALIWA inawasubiri😂😂Haya
Simba vs Bravos
Kipindi cha kwanza Bravos wamecheza vibaya wakiwa wanakaa nyuma
Kipindi cha pili kocha wa Bravos kamsima Fadlu kaingia na mbinu ya jykabia mbele
Wakapata penati ila bahati haikuwa upande wa Bravos
Hapa unaona siku akikutana na kocha mzuri watapoteza
Jana walikuwa wanalia hawamtaki Hersi leo Fadlu sio kocha wakati Kwao wameleta comedian 😄😄Mtatapika sana mwaka huu...