Utabiri: Kwa mara ya kwanza 2016, Miss World atatokea Tanzania

Kweli Ni mzuri. Anafaa kuolewa akae ndani asafishe nyumba.
 
Hata mimi nimeona kuwa this time kuna uwezekano mkubwa akafika kwenye top 3 kwani ameenda kwenye mashindano akiwa na strategy nzuri maana hata wenzake wameanza kucheza singeli huko na wengine wengi wameanza kuiga uchezaji huo. Hata akishindwa basi atakuwa ameupa chati sana muziki huo ingawa mimi binafsi siupendi.
 
Ban hutapigwa, pia nakupongeza kwa uzalendo wako wa kuwatia moyo watanzania na kuwahamasisha kupiga kura kwani hatuna kawaida ya kujali vya kwetu bali tu washangiliaji ashindapo mtz
 
Haahahhaha watanzania wanacomment Tanzania hadi kwenye picha za ma miss wengine
 
Utabiri huu hauna tofati na unano Mtesa Lema! hivyo tutaomba vyombo huska vichukue hatua stahiki
 
Reactions: ovi
Aende kwanza kwa Tb Joshua KM yule anae ishi kwa maono ya Mtu
 

Multilation =Mutilation

Maariage= Marriage

Nyota yake inang'ara kweli kweli....
 
Kwani kutolewa antenna kuna shida gani ?? Kwani kwenye punye kitu cha muhimu ni Yale maji kwa mbali na kambano.... Au we unafikilia tunatakaga nini humo
Demu bila kaantena mimi siwezi piga hata siku moja
 
Reactions: lup
Haahahhaha watanzania wanacomment Tanzania hadi kwenye picha za ma miss wengine
Yan hata mi nimeshaangaa,watanzania wana hamua na taji hadi wan a hanganyikiwa
Ila kiukweli wamenikera walivyomuingiza Kenya na India kwenye top 5 beauty for a purpose afu Tanzania hatupo wakati Kenya hata top 24 hakuwepo
 
Yan hata mi nimeshaangaa,watanzania wana hamua na taji hadi wan a hanganyikiwa
Ila kiukweli wamenikera walivyomuingiza Kenya na India kwenye top 5 beauty for a purpose afu Tanzania hatupo wakati Kenya hata top 24 hakuwepo
Heheheh watajua wao
 
Haya mkuje mtwambie,kwanini miss Wetu hajashinda,au hakukazana?
 

Miss Puerto Rico atwaa taji la Miss World 2016

Na ban hatukupigi, utajipiga mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…