chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Yuko vizur alafu mcheshi sana . Hajivungi kweli huyu ni mmasai mjanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amejitoa kama Wole Soyinka kuchana green card lolMSAGA SUMU natafuta jinsi gani umejiridhisha mpaka umejitoa swadaka ya ban mwaka mzima nakosa ila nimependa ujasiri wako na kujiamini kwako
Hata mimi nimeona kuwa this time kuna uwezekano mkubwa akafika kwenye top 3 kwani ameenda kwenye mashindano akiwa na strategy nzuri maana hata wenzake wameanza kucheza singeli huko na wengine wengi wameanza kuiga uchezaji huo. Hata akishindwa basi atakuwa ameupa chati sana muziki huo ingawa mimi binafsi siupendi.Baaada ya kupitia kufanya utafiti kwa miaka kadhaa na kupitia maandiko kadhaa ya wanazuoni tofauti tofauti wa masuala ya urembo, nimejiridhisha kabisa (beyond reasonable doubt) kuwa miss Tanzania Diana Olaibon Luqumay ndiye miss world anayefuata na kwa uzoefu wangu nafahamu kabisa miss world siyo chura.
Kwa wiki kadhaa jina la Diana limekuwa vinywani nwa maelfu kwa maelfu ya wakazi wa viunga vya Washington,bkutokea Common blv mpaka mitaa ilipo ikulu ya white house.
Ikitokea Mrembo huyu akashindwa naomba kwa moyo mmoja nipigwe ban mpaka hapo ndege mpya ya Boeing 787 itapotua nchini mwaka 2018.
Jamani naomba tuendelee kupiga kura kama kawaida yetu
Baaada ya kupitia kufanya utafiti kwa miaka kadhaa na kupitia maandiko kadhaa ya wanazuoni tofauti tofauti wa masuala ya urembo, nimejiridhisha kabisa (beyond reasonable doubt) kuwa miss Tanzania Diana Olaibon Luqumay ndiye miss world anayefuata na kwa uzoefu wangu nafahamu kabisa miss world siyo chura.

Utabiri huu hauna tofati na unano Mtesa Lema! hivyo tutaomba vyombo huska vichukue hatua stahikiBaaada ya kupitia kufanya utafiti kwa miaka kadhaa na kupitia maandiko kadhaa ya wanazuoni tofauti tofauti wa masuala ya urembo, nimejiridhisha kabisa (beyond reasonable doubt) kuwa miss Tanzania Diana Olaibon Luqumay ndiye miss world anayefuata na kwa uzoefu wangu nafahamu kabisa miss world siyo chura.
Kwa wiki kadhaa jina la Diana limekuwa vinywani nwa maelfu kwa maelfu ya wakazi wa viunga vya Washington,bkutokea Common blv mpaka mitaa ilipo ikulu ya white house.
Ikitokea Mrembo huyu akashindwa naomba kwa moyo mmoja nipigwe ban mpaka hapo ndege mpya ya Boeing 787 itapotua nchini mwaka 2018.
Jamani naomba tuendelee kupiga kura kama kawaida yetu
Duh! unanikumbusha enzi hizo Akinwande olowole babatunde soyinka nigeria na dunia inamtambua Sani abacha alimuendesha sana mtu huyu.Amejitoa kama Wole Soyinka kuchana green card lol
She is cute and smart, documentary yake ya female genital multilation and early maariage in Masai tribes and other developing countries itamuweka pazuri hata asiposhinda. Atapata deals nyingi tu za uambassador duniani. Tuendelee kupiga kura na kumuombea
Ikitokea Mrembo huyu akashindwa naomba kwa moyo mmoja nipigwe ban mpaka hapo ndege mpya ya Boeing 787 itapotua nchini mwaka 2018.
aisee nimecheka hadi nikapotea njia nikajibumiza kwenye nguzo ya umeme..Ikitokea Mrembo huyu akashindwa naomba kwa moyo mmoja nipigwe ban mpaka hapo ndege mpya ya Boeing 787 itapotua nchini mwaka 2018.
Mdanganyeni,akirudi kapa msimkimbiehuyu diana akikaza atakuwa mtu mkubwa sana... maana anafaa sana kuwa model namuigizaji wa hollywood
Demu bila kaantena mimi siwezi piga hata siku mojaKwani kutolewa antenna kuna shida gani ?? Kwani kwenye punye kitu cha muhimu ni Yale maji kwa mbali na kambano.... Au we unafikilia tunatakaga nini humo
Yan hata mi nimeshaangaa,watanzania wana hamua na taji hadi wan a hanganyikiwaHaahahhaha watanzania wanacomment Tanzania hadi kwenye picha za ma miss wengine
Heheheh watajua waoYan hata mi nimeshaangaa,watanzania wana hamua na taji hadi wan a hanganyikiwa
Ila kiukweli wamenikera walivyomuingiza Kenya na India kwenye top 5 beauty for a purpose afu Tanzania hatupo wakati Kenya hata top 24 hakuwepo
Haya mkuje mtwambie,kwanini miss Wetu hajashinda,au hakukazana?Baaada ya kupitia kufanya utafiti kwa miaka kadhaa na kupitia maandiko kadhaa ya wanazuoni tofauti tofauti wa masuala ya urembo, nimejiridhisha kabisa (beyond reasonable doubt) kuwa miss Tanzania Diana Olaibon Luqumay ndiye miss world anayefuata na kwa uzoefu wangu nafahamu kabisa miss world siyo chura.