Utabiri: Kwa mara ya kwanza 2016, Miss World atatokea Tanzania

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Baaada ya kupitia kufanya utafiti kwa miaka kadhaa na kupitia maandiko kadhaa ya wanazuoni tofauti tofauti wa masuala ya urembo, nimejiridhisha kabisa (beyond reasonable doubt) kuwa miss Tanzania Diana Olaibon Luqumay ndiye miss world anayefuata na kwa uzoefu wangu nafahamu kabisa miss world siyo chura.

Kwa wiki kadhaa jina la Diana limekuwa vinywani nwa maelfu kwa maelfu ya wakazi wa viunga vya Washington,bkutokea Common blv mpaka mitaa ilipo ikulu ya white house.

Ikitokea Mrembo huyu akashindwa naomba kwa moyo mmoja nipigwe ban mpaka hapo ndege mpya ya Boeing 787 itapotua nchini mwaka 2018.

Jamani naomba tuendelee kupiga kura kama kawaida yetu
 
She is cute and smart, documentary yake ya female genital multilation and early maariage in Masai tribes and other developing countries itamuweka pazuri hata asiposhinda. Atapata deals nyingi tu za uambassador duniani. Tuendelee kupiga kura na kumuombea
 
uwiiii kumbe wamemtoa ka antenna kake!!!!! au mie sijakuelewa vema
 
Kwani kutolewa antenna kuna shida gani ?? Kwani kwenye punye kitu cha muhimu ni Yale maji kwa mbali na kambano.... Au we unafikilia tunatakaga nini humo
 
hahahahah nasikia na kenyewe kana nogesha SHUGHULI tehe tehe tehe tehe
 
Shughuli hiwa inanoheshwa kwa njia nyingi kama maandaliza,maneno mikunjo,mikato ya kiuno,kupumua..nk..lakini zaidi ni ubora wa kiwango cha maji na kubana...
 
Wewe uwe na arena halafu ni gogo then k.. Bwaku ya punda cha mototo.halafu mwenzio hana attena ila sifa tajwa anazo mmeo akionja huko atakuacha....na kwa taarifa yako watu wanatafuta sana hizo ila hawajionyeshi live kwani ni dili
 
Baaada ya kupitia kufanya utafiti kwa miaka kadhaa na kupitia maandiko kadhaa ya wanazuoni tofauti tofauti wa masuala ya urembo,nimejiridhisha kabisa (beyond reasonable doubt) kuwa miss Tanzania Diana Olaibon Luqumay ndiye miss world anayefuata na kwa uzoefu wangu nafahamu kabisa miss world siyo chura.
Kwa wiki kadhaa jina la Diana limekuwa vinywani nwa maelfu kwa maelfu ya wakazi wa viunga vya Washington,kutokea Common blv mpaka mitaa ilipo ikulu ya white house.
Ikitokea Mrembo huyu akashindwa naomba kwa moyo mmoja nipigwe ban mpaka hapo ndege mpya ya Boeing 787 itapotua nchini mwaka 2018.
Jamani naomba tuendelee kupiga kura kama kawaida yetu
Unapoona umeishiwa mb.. Unatafta gia ya kuondokea..
[emoji124] [emoji124]
 
Wewe uwe na arena halafu ni gogo then k.. Bwaku ya punda cha mototo.halafu mwenzio hana attena ila sifa tajwa anazo mmeo akionja huko atakuacha....na kwa taarifa yako watu wanatafuta sana hizo ila hawajionyeshi live kwani ni dili
Ha haa haaaa mbona mnabadili mada
 
  • Thanks
Reactions: lup
She is cute and smart, documentary yake ya female genital multilation and early maariage in Masai tribes and other developing countries itamuweka pazuri hata asiposhinda. Atapata deals nyingi tu za uambassador duniani. Tuendelee kupiga kura na kumuombea
Yani wazungu wanapendaga kusikia mabaya tu Africa.... kweli kwa documentary hiyo atasogea sogea. Azungumzie na Kipindupindu Dar.
 
Nimempigia Kura Mara moja then sioni option ya kurudia , tafadhali tuelimishane kwa wanaojua ...
 
Back
Top Bottom