MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Baaada ya kupitia kufanya utafiti kwa miaka kadhaa na kupitia maandiko kadhaa ya wanazuoni tofauti tofauti wa masuala ya urembo, nimejiridhisha kabisa (beyond reasonable doubt) kuwa miss Tanzania Diana Olaibon Luqumay ndiye miss world anayefuata na kwa uzoefu wangu nafahamu kabisa miss world siyo chura.
Kwa wiki kadhaa jina la Diana limekuwa vinywani nwa maelfu kwa maelfu ya wakazi wa viunga vya Washington,bkutokea Common blv mpaka mitaa ilipo ikulu ya white house.
Ikitokea Mrembo huyu akashindwa naomba kwa moyo mmoja nipigwe ban mpaka hapo ndege mpya ya Boeing 787 itapotua nchini mwaka 2018.
Jamani naomba tuendelee kupiga kura kama kawaida yetu