Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
-
- #81
Kama ingekuwa kamari, ungekuwa umeshinda kwa 100%
naunga mkono
namm niwe mhasibu wa kilinge
π€£π€£π€£ππ
Asante mkuuHongera, naona asilimia 98 imekuwa vile vile
ππππHongera Sana mkeka umetiki πππ
Skanka
Asante πMganga umetishaaaaaa
Anaogopa police huyuHii balaa,utumie kipaji hiki kutafuta hela
Chifu hii kitu ulipigapigaje?! Mbona kitu na box?π€π€π€
Umeprove wrongMihadarati ni kitu kibaya sana
kivipi?Anaogopa police huyu
Anakusaliti... πππwe jamaa,hebu tabiri mpenzi wangu anafanya nini saivi hukoπ,, yaani mule mule
uuuuwwiiiiiiiih itakua kweli βΉοΈβΉοΈπ’ nimekwishaaaaaAnakusaliti... πππ
Ningekuita pm kukuelekeza ila kumejaa sasa...Chifu hii kitu ulipigapigaje?! Mbona kitu na box?
πππππuuuuwwiiiiiiiih itakua kweli βΉοΈβΉοΈπ’ nimekwishaaaaa