Utabiri kwa picha: Kesho Simba tunapoteza kwa goli 2

Utabiri kwa picha: Kesho Simba tunapoteza kwa goli 2

Makolo kesho mtashinda...
Yanga kuna mchezaji atapata red...

Ms R
downloadfile-405.jpg
 
Tajiri unajua nagombania urithi na wewe upo

Kaz imeisha 😂😂😂
😂😂😂😂😂
Mimi na wewe tena mkuu kazi imeisha.

Nilimtahadharisha secretarybird huu moto anaochezea ni mwingine hakunielewa.

Mimi ndiyo nimemfanya aandika uzi wa kuaga humu ili demu wake awe mpweke nipite nae 🤸🤸😂
 
Back
Top Bottom