Mbuta Likaso
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 5,414
- 10,555
Hivi hizi threads huwa zinakuwa wapi kabla ya mechi? Eti iliisha ndo unaona uzi. Tangu juzi nasoma nyuzi zote hapa jukwaani ila huu nilikuwa sijauona. Tuseme mods huwa wanaficha baadhi ya threads au waleta threads ni wakuda kujifanya wanatabiri baada ya mechi kuisha? 🤔