Utabiri kwa picha: Kesho Simba tunapoteza kwa goli 2

Kumbe hii vita ni vita muraaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ujue nilikuwa nashangaa inakuwaje tajir unakosa baya kumbe mfuko wa ukoo unachangia πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Kumbe hii vita ni vita muraaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ujue nilikuwa nashangaa inakuwaje tajir unakosa baya kumbe mfuko wa ukoo unachangia πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hakuna mmakonde mjinga mkuu...
Hii ngoma haina kupoa nikiwatoa kwenye bwawa nawaanika kwenye mvua, nikiwatoa kwenye mvua nawahifadhi kwenye bwawa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dosho12
 
We jamaa unaweza hata kunitabilia maisha yangu huku mbeleni 🀣🀣🀣
 
We jamaa unaweza hata kunitabilia maisha yangu huku mbeleni 🀣🀣🀣

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna safari ipo karibu yako, nisiseme mengi.
UT OFIK IN OFIK πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna safari ipo karibu yako, nisiseme mengi.
UT OFIK IN OFIK πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣 Hebu nifunulie kidogo ,, maana kwasasa napitia mengi sana lakin kuna moja kubwa ndiyo nimekuwa nikimuomba sana manani inajalie muelekeo .
 
🀣🀣🀣🀣 Hebu nifunulie kidogo ,, maana kwasasa napitia mengi sana lakin kuna moja kubwa ndiyo nimekuwa nikimuomba sana manani inajalie muelekeo .
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
mkuu mbona kama umekaza buti kweli! Mwenyewe hata kama naenda kudondosha simu tu hapo mbele siwezi kujua.
 
Mkuu kama kuna supu hapo jirani... Kunywa tu.
Maana hamna namna nyingine tena...
πŸ˜“πŸ˜“πŸ˜žπŸ˜žπŸ˜₯πŸ˜₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…