Mbuta Likaso
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 5,414
- 10,555
Kwahiyo hizo Ripley za wachangiaji hapo kabla ni za kufoji pia? Na tarehe ya uzi nayo ni ya kugushiπ?Hivi hizi threads huwa zinakuwa wapi kabla ya mechi? Eti iliisha ndo unaona uzi. Tangu juzi nasoma nyuzi zote hapa jukwaani ila huu nilikuwa sijauona. Tuseme mods huwa wanaficha baadhi ya threads au waleta threads ni wakuda kujifanya wanatabiri baada ya mechi kuisha? π€
πππKumbe Tajiri Sina BAYA ni mganga aisee. Taratibu tutazijua kazi zenu halisi
Kiko wapi?π π ππππ
Mkuu hela na matunguli havikai geto moja.
Ah acha tu ndugu yangu.Kiko wapi?π π π
Sahivi umerudi kwenye uhalisia wako, nikijua tu wewe ni "mganga"
Kusifiwa na marry kidogo tu umefilisikaAh acha tu ndugu yangu.
Ndio hivyo mkuu, sina hili wala hilo.Kusifiwa na marry kidogo tu umefilisika
Usijali njoo PM kuna uzi wa siri nikupeleke, chap tu unarudi kuwa tajiriNdio hivyo mkuu, sina hili wala hilo.
Ndio hivyo mkuu, sina hili wala hilo.
Sawa mkuu nitafanya hivyoUsijali njoo PM kuna uzi wa siri nikupeleke, chap tu unarudi kuwa tajiri
Anyway, uzi wenyewe unaitwa "wazee wa mikeka", ukitumia vizuri hayo mashetani yako ya kutabiri magoli na yatafungwa kipindi cha ngapi utapiga sana pesa
Umasikini ni mzigo mzito mkuu, acha tu niwe hivi.Dah halafu umekuwa mnyonge balaa
Anyway, tunasubiri story yako kwa haya yaliyokukutaUmasikini ni mzigo mzito mkuu, acha tu niwe hivi.
ππππ€π’ stori huwa zinalenga mahusiano ya wanawake ambao tumewahi kukutana physically sio hawa wa mitandao pia sio kisa kingine nje ya mahusiano.Anyway, tunasubiri story yako kwa haya yaliyokukuta