UTABIRI: Kwenye mechi ya Ihefu vs Simba Marefa watayafanya makosa ya kiubinadamu na kupelekea Simba kupata pointi tatu muhimu

Ndiyo ihefu ni mbabe wa yanga aliyeifunga yanga Mara moja
Lakini yanga mbabe wa Simba aliyeifunga Simba zaidi ya Mara moja

Tukutane tar 19/4 kipigo maridhawa kipo pale pale bila yakupepesa macho tatu mzuka zinawafaa.
Niliuliza kuhusu IHEFU
 
Utopolo unateseka wakati unaongoza?!Uchawi kitu kibaya sana

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Utopolo mna kazi sana
 
Kinyesi unaumia nini lkn?kufungwa afungwe ihefu uumie wewe utopolo,goli lwa kwanza kipa kaokolea ndani,goli la pili kibu na mahundi walikuwa wanagombania mpira wote,tena kwa kitumia nguvu(50/50),matokeo ya battle hiyo kibu ndo alishinda sasa faulo ilikuwa wapi pale.Unajiumiza bure na mambo yasiyokuhusu.
 
Tufanye ilikua 2 kwa moja. Hizo tatu tuondoe.

Kumbe Ihefu akimfunga Azam na Yanga lazima na Simba afungwe.

Kwako kila mtu akianguka Ni faulo.

Kweli nyie mna vinyesi kwenye ubongo.
 
Ndiyo ihefu ni mbabe wa yanga aliyeifunga yanga Mara moja
Lakini yanga mbabe wa Simba aliyeifunga Simba zaidi ya Mara moja

Tukutane tar 19/4 kipigo maridhawa kipo pale pale bila yakupepesa macho tatu mzuka zinawafaa.
Yaani kama mgeni anawasikiliza utopolo anaeza fikiri simba haijawahi mfunga utopolo hata mara moja. Yaani hutaki kuamini kama ihefu ni timu mbovu na ilimfunga yanga baada ya ihefu kugoma kupokea bahasha?
 
Kwa hiyo ihefu wamekubali kupokea rushwa kwenu si ndiyo
 
Kama ilivyotokea Yanga vs Geita
 
Vipi Kaka umepotea baada ya maparachichi kuoza?. Njoo ubishane tena, Simba babalao.
 
Mtoa mada akiangalia Simba ilivyokuwa ya moto kwa game zake nyingi anazoshinda anaamua kujizima data na kutengeneza DM ili hata Simba ilishinda ajitetee kwamba si nilisema hivi?.....hizo ni pigo za kike za kuwa na wivu bila sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…