Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Huu ni utabiri wangu kuhusu kitakachotokea ndani ya wiki mbili hizi huko Kenya.
Ni kuwa Raila ameona hakuna namna yoyote anaweza kuwa Rais wa Kenya na ukizingatia umri wake anaona kama anaenda kuwa irrelevant kisiasa.
Uamuzi wowote utakaotolewa na mahakama tofauti na kumtangaza Odinga mshindi mzee ataleta fujo.
Itakuwani mwendelezo wa vihoja tu ili abaki relevant kwa kupewa handshake na Ruto.
Matokeo ya mahakama yakisema uchaguzi uliofanyika ulikuwa hauna kasoro kubwa, basi Raila na wafuasi wake watasema mahakama imenunuliwa na wataitisha maandamano yasiyo na kikomo ili kuleta tu crisis.
Pili mahakama ikasema uchaguzi urudiwe, basi Odinga hatakubaliana na hilo pia, sababu anajua ataenda kushindwa vibaya tena zaidi, atakachofanya atatoa masharti ya ajabu kuhusu kurudiwa kwa uchaguzi ambayo hayatekelezeki.
Yasipotekelezwa ndio hapo atapata kisingizio cha kutangaza maandamano nchi nzima ili atulizwe tena kwa handshake.
MARK THIS THREAD