Gasy wa Ukweli
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 397
- 201
Utabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni funzo kubwa sana kwa nafasi kubwa atakazo kujua kuzipata. Namtabiria kwa serikali inayokuja ataingia kwenye baraza la mawaziri kama Waziri kamili au Naibu waziri.
#Tukutane siku Rais akitangaza baraza la mawaziri.
Ameacha alama gani zaidi ya kugawa watu kidini? akitumia mwavuli huo ili waislamu wampe kura? tena kwa ushahidi wa mkuu wa nchi kupitia msikiti wa bondeni?Utabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni funzo kubwa sana kwa nafasi kubwa atakazo kujua kuzipata. Namtabiria kwa serikali inayokuja ataingia kwenye baraza la mawaziri kama Waziri kamili au Naibu waziri.
#Tukutane siku Rais akitangaza baraza la mawaziri.
la maulamaa wa pale bondeni aliokuwa amewaahidi kuwapa ;lile eneo la wazi ili nao wampigie kampeni msikitiniLabda baraza la usuruhishi wa wanawake
Haituhusu, cha msingi katimuliwa kutoka mkoani kwetu wa wastaarabuUtabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni funzo kubwa sana kwa nafasi kubwa atakazo kujua kuzipata. Namtabiria kwa serikali inayokuja ataingia kwenye baraza la mawaziri kama Waziri kamili au Naibu waziri.
#Tukutane siku Rais akitangaza baraza la mawaziri.
Ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka.
Tunamkumbuka kwa yapi?
1.
2.
3.
4.
5...
ameacha alama gani zaidi ya kugawa watu kidini? akitumia mwavuli huo ili waislamu wampe kura? tena kwa ushahidi wa mkuu wa nchi kupitia msikiti wa bondeni?
Amefanya nini zaidi ya chuki binafsi dhidi ya watendaji wasio na sigda kwenye uso?
Amefanya nini kulinganisha na Anna mghwira, Shigella , na wengine ?
Wwewe umetumwa uje kumuimbia pambio weakati kishatumbuliwa?
Umeanza kupima upepo!
mema gani hayo zaidi ya kurudia rudia tu kusema mema memaa , alaa!Hakuna mwana Arusha anayeweza kumkumbuka kwa mema aliyo yatenda
la maulamaaHuyo baraza lijalo yumo.
Kwa mtaji wa ukuu wa mkoa wa Arusha tu?Unaota mchana?
Ukubona siKwa mtaji wa ukuu wa mkoa wa Arusha tu?
Kuna akina marehemu Ndassa , wamesoma na Mkuu na Baraza walilisikia tu!
Una kimbembe wewe si bure!
We n'gojwa nini? yaani Rais Tundu Lissu ampe uwaziri Gambo?Utabiri wangu, Moja ya vijana wachapa kazi wa CCM uwezi kuacha kumtaja Mrisho Gambo, Arusha ameacha alama kubwa sana kwa uongozi uliotukuka, changamoto za uongozi alizokutana nazo zitakuwa ni funzo kubwa sana kwa nafasi kubwa atakazo kujua kuzipata. Namtabiria kwa serikali inayokuja ataingia kwenye baraza la mawaziri kama Waziri kamili au Naibu waziri.
#Tukutane siku Rais akitangaza baraza la mawaziri.
Inawezekana ndiye huyo huyo Gambo