UTABIRI MSIMU 2024/2025: Nani atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa?

Hivi ulishawaza itakuaje KAMA Young Africans SC wakitolewa na Vitalo hatua ya Awali ya Champions League? Mpira una matokeo ya kikatili sana mjue hapo lazima Gamondi aliwe kichwa
Yanga wanatazama perfomance ya timu. Alivumiliwa Nabi for two years bila kuipeleka timu kimataifa sembuse Gamond anayewakanda Simba kila siku kwa vipigo vitakatifu?
 
Kutoka ligi yoyote duniani.
Mi nadhani Hawa hapa hawatomaliza msimu na pengine hawatafika hata Christmas.
i)Eric Ten Haag
ii)Fadlu Davies
iii)Mourinho
iv)Vincent Kompany

Wewe mwanamichezo unahisi kocha gani atafukuzwa mapema?
Kiko wapii..Fadlu Bado yupo sana
 
Yanga wanatazama perfomance ya timu. Alivumiliwa Nabi for two years bila kuipeleka timu kimataifa sembuse Gamond anayewakanda Simba kila siku kwa vipigo vitakatifu?
Unasemaje eti😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Yanga wanatazama perfomance ya timu. Alivumiliwa Nabi for two years bila kuipeleka timu kimataifa sembuse Gamond anayewakanda Simba kila siku kwa vipigo vitakatifu?
1000016059.jpg
 
Back
Top Bottom