UTABIRI: Ndejembi kuwa Rais wa awamu ya 7 kabla ya 2030

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Makamu wa Rais mteule ambaye anatarajiwa kuapishwa Leo aliyechukua nafasi ya Emmanuel Nchimbi aliyejiuzulu

Mungu ameonionyesha kuwa kabla ya 2030 atakuwa Rais kamili

Watu wa mtandao hawalali wako mbele ya muda, Rais awamu ya 7 anaandaliwa

Sababu unaweza kuwa jambo letu la The Hague au Mapenzi ya Mungu

Huu Uzi upigwe lamination kabisa
 
Tuendelee kushuhudia na kushangilia max nzengeli akiwanyoosha watu...lakn upande huu hujui chochote!
 
mods, tunzeni huu ushahidi
 
Kisa ni kuoteshwa kwa Kingu,
Kizazi cha ndoto!
 
Ni likely, hata kama si mambo ya ICC, atachukua fomu kugombea urais na atapitishwa. umri wake tu unashadidia atapitishwa kuwa rais. Hana makundi na hakuonesha kuutaka urais. Tayari ni Rais ajaye, imetoka hiyo! CCM imeishamaliza kazi ya kumpata rais baada ya samia, shughuli imemalizika mapema
 
Kwa hiyo tutatawaliwa na marais wawili wa Zanzibar mfululizo.

Na inawezekana wanafanya hivi ili kuextend utawala wao maana kama huyu VP akiwa rais wana uhakika 2030 watashinda hata kwa kuua. Na maana yake atatawala hadi 2040 au naye atateua makamu ili ajiuzulu 2037 ili wamwachie wanayemtaka.

Deo akiwa rais 2030 itakuwa ni extension tu ya Samia na kwa maana hiyo ninkuendelea kutawaliwa na JK na RA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…