Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,980
- 8,321
Ndoto/Maono haya jaonesha kimoja basi huu ni utabiri wa mleviSababu unaweza kuwa jambo letu la The Hague au Mapenzi ya Mungu
Ndoto/Maono haya jaonesha kimoja basi huu ni utabiri wa mleviSababu unaweza kuwa jambo letu la The Hague au Mapenzi ya Mungu
Haka ni kamwiziAcha ramli chonganishi kijana
View attachment 3659372
Lahaula !!!Hatutaki Raisi shoga
Pengine ikawa kheri.Makamu wa Rais mteule ambaye anatarajiwa kuapishwa Leo aliyechukua nafasi ya Emmanuel Nchimbi aliyejiuzulu
Mungu ameonionyesha kuwa kabla ya 2030 atakuwa Rais kamili
Watu wa mtandao hawalali wako mbele ya muda, Rais awamu ya 7 anaandaliwa
Sababu unaweza kuwa jambo letu la The Hague au Mapenzi ya Mungu
Huu Uzi upigwe lamination kabisa
Mambo huwa yanabadilika Sana kwa ground wakati ukifika Kila Mtu anaonesha rangi yakeNi likely, hata kama si mambo ya ICC, atachukua fomu kugombea urais na atapitishwa. umri wake tu unashadidia atapitishwa kuwa rais. Hana makundi na hakuonesha kuutaka urais. Tayari ni Rais ajaye, imetoka hiyo! CCM imeishamaliza kazi ya kumpata rais baada ya samia, shughuli imemalizika mapema