UTABIRI: Ndejembi kuwa Rais wa awamu ya 7 kabla ya 2030

Kwa hivyo naye atapita bila kupingwa
 
Deo ni Mtanganyika sio Mzanzibari. Baba Mgogo na mama mchaga wa Kilimanjaro. Sometime Maria Sarungi anazingua hata kama namuunga mkono
 
Achana na ishu ya ICC, Deo ndiye Rais ajaye baada Samia. Angalia picha zinazopigwa kwenye tukio la kuapishwa kwake, hali ya hewa ya kisiasa isipobadilika CCM haitahangaika kupata mgombea wake, ni Deo tu imetoka hiyo. Yako mengi yanayoshadidia Deo ndiye Rais ajaye labda kama uchaguzi utakuwa huru na wazi CCM bado ina kazi ngumu kukubalika kwa wananchi wengi Deo anaweza kupigwa chini na upinzani, ila kwa mtindo wa siasa za CCM ulivyozoeleka kwenye chaguzi imetoka hiyo, Deo ndiye rais ajaye labda katiba mpya ije kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Kwa hii katiba na taratibu za uchaguzi zilivyo nchi ijue tayari ina rais reserve/sub
 
ni setting hiyo imesitiwa kwa muda mrefu, kuivuruga ni shughuli pevu, imeishaharibu makundi ya wawania urais ndani na nje ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…