UTABIRI: Ndejembi kuwa Rais wa awamu ya 7 kabla ya 2030

Muueni tuu, tumechoka kusubiri.
 
Heee
 
Kun faya kun!
 
Au ule utabiri wa nabai suguye unatimia
 
Mpambanieni mtakuja kulia nusu ya wabunge watafyekwa kama nyasi.2030 siyo rahisi ndo maana ameanza timua timua.hali si shwari huku uraiani.watu tumepigika na maisha,biashara kila kukicha zinafungwa wewe unaleta mzaha.tuombe Mungu tukutane 2030.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…