UTABIRI: Ndejembi kuwa Rais wa awamu ya 7 kabla ya 2030

ww sio mtabiri ila kwa maelezo ya bi mkubwa inaonekana hivyo alisema wana project ya miaka 15 wasingependa kuona inaishia njiani lazima kuwe na watu wao wakuendeleza kile walichokianzisha kwaiyo watu wenyewe ndo kina deo.
 
Pengine ikawa kheri.
 
Mambo huwa yanabadilika Sana kwa ground wakati ukifika Kila Mtu anaonesha rangi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…