Uchaguzi 2020 Utabiri: Ni Lissu Vs Membe 2020

Uchaguzi 2020 Utabiri: Ni Lissu Vs Membe 2020

Kila jibu ni jibu, tunataka jibu sahihi.... dadavua nyuzi yako
 
Si ni utabiri tu?: "Ni Lissu versus Membe 2020" kwenye kinyang'anyiro cha kumtafuta mtu wa kupeperusha bendera ya CHADEMA au NCCR-Mageuzi.
 
Unataka kutuambia safari ya Rubondo inaweza kuwa ya moja kwa moja???
Ndoto za Abunuwasi

Hujamuona jana Kabudi anavyoongea uongo kwa kutoa mimacho huku akimpa bosi wake sifa kama zote
 
2cb7138a-92c3-4246-80e7-219830b1608d.jpg



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa yenu hata kurudi tu bongo anasubiri Siro ndo amhakikishie usalama wake kuna mgombea kweli hapo?

Au mtindo uleule alioutumia kugombea CDM ndo utatumika wa kampeni za video calls.
 
Back
Top Bottom