Uchaguzi 2020 Utabiri: Ni Lissu Vs Membe 2020

Uchaguzi 2020 Utabiri: Ni Lissu Vs Membe 2020

Huyo jamaa yenu hata kurudi tu bongo anasubiri Siro ndo amhakikishie usalama wake kuna mgombea kweli hapo?

Au mtindo uleule alioutumia kugombea CDM ndo utatumika wa kampeni za video calls.
Usalama wa wabunge wa lumumba upo kwa kipaza sauti bungeni
 
Mleta mada ,kwani Lumumba wanamalizia kuunga mboga?
 
Yaani unatabiri kuwa rais wa sasa atakaa kwa miaka mitano tuu then aachie?? Yawezekanaje jambo hili?
 
Back
Top Bottom