Quickly
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,056
- 649
Ahsante kwa kutupa hizo nyuzi, nitazipitia na bila shaka itanifariji. Kumbe siwajui Tanzania na watanzania.Kwa ukabila wa Kenya, hakuna swing kwenye ukabila huo bali kinachofanyika ni kitu kinachoitwa diffusion, kwa kila kambi kuwaweka watu wa dominant tribes with solid promises za kuja kushika madaraka fulani iwapo fulani atashinda.
Hii maana yake ili Odinga apate kura ya Mkikuyu, ni lazima kwenye line up awe na Mkikuyu mwenye ahadi ya kuwa PM, Spika, CJ au waziri wwizara muhimu.
Huu ukabila wa Kenya huko tuendako sisi Tanzania pia ndio tunauanza, na mimi niliuzungumzia sana humu
Sumu ya Siasa za Udini, Ukanda na Ukabila, "Is It Real? au ni ...
Tuhuma Za Ukabila: Wasukuma Sii Miongoni Mwa Makabila Yenye ...
Tupende, tusipende: Tanzania inanyemelewa na udini! | Page 42 ...
Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi! | Page 4 ...
Makabila makubwa vs Makabila madogo | JamiiForums | The Home of ...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha na ukabila; Ukemewe na kila mmoja wetu ...
Kuelekea 2015: CHADEMA Kuchukua Nchi Kwa Kishindo!... Only If ...
Ni kweli kuna makabila yasiyotakiwa kutoa rais wa nchi? | Page 7 ...
Tumeishaanza kidogo kidogo, determinant ya nani anashinda urais wa Tanzania, inaamuliwa na Kanda ya Ziwa, hivyo tumeishaanza anza kupiga chapuo
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana ...
Udini, Ukanda na Uksabila ni sumu mbaya sana, hatuwezi kuipiga vita kwa denial kuwa haipo Tanzania, ipo, dawa ni kui contain na kui diffuse!.
Paskali
Ni nadra saana kunipata nikijibu mada kama hizi lakini hizo nyuzi ulizoweka nadhani zitanipa fundisho mwafaka kuhusu Tanzania watu wake na siasa zake. Ahsante.
mleta mada kweli huijui siasa za Kenya, ingefaa ujielemishe nayo kwanza. uchambuzi wako kumhusu Raila ni feki sana.
Mleta mada, kweli huijui siasa za Kenya