Utabiri: Odinga anaenda kushinda Urais

Utabiri: Odinga anaenda kushinda Urais

40b53e63a94b266e7f5f9ea313cfc712.jpg
Majibu haya yanaonyesha ukomavu wa kifikra na shibe. Kama angekuwa ana njaa angezipokea Ksh 500ml alizoingiziwa kwenye akaunti. Lkn hakufanya hivyo. Kama angekuwa hajakomaa kifikra angeufyata na kumpigia magoti rais aliyeko madarakani.
 
Majibu haya yanaonyesha ukomavu wa kifikra na shibe. Kama angekuwa ana njaa angezipokea Ksh 500ml alizoingiziwa kwenye akaunti. Lkn hakufanya hivyo. Kama angekuwa hajakomaa kifikra angeufyata na kumpigia magoti rais aliyeko madarakani.
Hata kama m500 zilitolewa,je,ni nani aliyezitoa? Na alikuwa na lengo gani? Maraga anajua ni nani aliyetaka kumhonga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Odinga na urais ni sawa na mbingu na ardhi.Rais ni Uhuru,hayo unsyotegemea hayapo na kura za Odinga zitapungua. Niamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uaminike bila substance mkuu,tema cheche.

Hata hivyo ukweli mkuu ni kwamba Kenyatta hatashinda uchaguzi.Mtu aliyeiba kura na kuwa proved na mahakama kwamba ni mwizi wa kura, atashindaje.He is so tainted.Ni mjinga tu anayeweza kumchagua mwizi kuwa Rais wake.
 
Uaminike bila substance mkuu,tema cheche.Ukweli mkuu ni kwamba Kenyatta hatashinda uchaguzi.Mtu aliyeiba kura na kuwa proved na mahakama kwamba ni mwizi wa kura, atashindaje.He is so tainted.Ni mjinga tu anayeweza kumchagua mwizi kuwa Rais wake.
Mahakama haikumkuta Uhuru na hatia yyte,IEBC ndo ina makosa.Uhuru ndo presidaa hutaki unaacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli ni jambo gumu sana kwa Raila kuweza kushinda. Ukifuatilia vizuri at ground level matokeo ya uchaguzi wa Kenya yaliyopita utagundua kuwa Jubilee walifanikiwa zaidi katika ngazi zote za uchaguzi. Na jambo hilo haliwezekani kubadilika ndani ya siku 60.

Hakuna anayejua kwa uhakika namna ule udukuaji wa matokeo uliathiri kwa kiasi gani kura za urais za Raila Odinga. Mahakama ya Kenya alifuta matokeo yote ya urais kwa sababu mfumo wa mawasiliano ya internet wa Tume ya uchaguzi ulidukuliwa(hivyo mfumo ule hauwezi kuaminiwa kisheria kwa matokeo yote uliyoyatoa), na mahakama haikujikita kuangalia namna kura za Odinga kama ziliibiwa kiasi cha kuathiri matokeo ya jumla katika kumpata mshindi.
 
Mkikuyu ni sawa na Wahindi usitegemee chochote toka kwa Odinga
 
Hii ndo sura alokuwa amevalia wakati aliposikia ameshindwa raundi ya kwanza! Tarehe kumi na nane Oktoba akisikia ameshindwa tena sura ndo itafanana na ya kangaroo kabisaa! Hehe mzee aende nyumbani akapumzike! 😀
Hahaha , i thought i was the only one who was quite bemused by that dejected look on his face.Tutafika Oct 17 na sura utakuwa ni hiyo hiyo aende ajinyonge.
 
Mwanaume sharti uwe na sura Mbaya. Sura nzuri kwani unafanyia kazi mapokezi?


Nduki..[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
b3f55800e288ca9c9414f1ab04f99a25.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Odinga na urais ni sawa na mbingu na ardhi.Rais ni Uhuru,hayo unsyotegemea hayapo na kura za Odinga zitapungua. Niamini.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nakubaliana na wewe kuwa Raila kamwe hawezi kuwa Rais wa Kenya; tyranny of numbers hana kabisa cheki Wakamba tayari washarudi kundini yaani kwenye GEMA(Gikuyu, Embu, Meru na Akamba) hapo ni kura zaidi ya million 6, Isaac Ruto amerudi kundini yaani Kalenjin hapa kura zipo million 3 then Abaluhya chini ya uongozi wa Marende, Ababu Namwamba, Otuoma, Spika Ken Lusaka na Elechi wamebeba karibu nusu ya kura za kina mundu kumundu wa Ingoo, the Maa community zaidi ya nusu, North Eastern wakiongozwa na Mhe Duale na kule Pwani wakiongozwa na gavana Mvurya wanabeba kura nyingi, kwa hiyo Uhuru anazo kura kwa wastani million 11 lakini siyo chini ya millioni 9.9 out of the total 16 million!!! Last time difference ilikuwa 1.5 millioni lakini kwa tarehe 17/10/2017 difference itakuwa 3.8 million!!! Hii ni kwa sababu GEMA na Kalenjin wana jumla ya 8.7 kama opening balance account!! This is the tyranny of numbers as estimated.
 
Back
Top Bottom