Utabiri: Odinga anaenda kushinda Urais

Ahsante kwa kutupa hizo nyuzi, nitazipitia na bila shaka itanifariji. Kumbe siwajui Tanzania na watanzania.
Mleta mada, kweli huijui siasa za Kenya
 
Kwani jaji Maraga ndo mpiga kura mkuu? Kwani jaji Maraga ndo IEBC? Odinga hashindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yangu hapo mkuu ilikuwa kwamba Uhuru matumaini yake makubwa ni kwenye IEBC kucheza na matokeo. Anaona kizingiti kikubwa ktk hilo ni mahakama, ndiyo maana anambwatukia Maraga. Na ikiwa hivyo Odinga chali.
 
Wewe una ndoto mbaya zisizotimikika hata kidogo pamoja na maoni kama ya Juha Kalulu. Odinga hapati 'ngo na atarudi nyumbani tena kulialia mara ya tano kufuta machozi.
 
Hayo ni maoni yako lakini tunajua wazi kuwa odinga kapewa akili hiyo ya kumsumbua Kenyatta mahakamani kwa kuwa anajua yy hapotezi kitu. Hiyo akili kapewa na huyu asiyejaribiwa kwani aliumbuka mno kwa ushindi wa Kenyatta.
Ulichotoa ni propaganda tupu. Hakuna rais bora afrika kama UK. Mungu atampigania daima. Tunajua hampendi amani kwani vurugu ndiyo jadi yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

 
Atashindana lakini abadani hawezi kumshinda UHURUTO,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Odinga awezi shinda urais Kenya ata afanye nini kwa sababu jubilee wanaongoza kuanzia wabunge magavana maseneta yaani kuanzia chini kabisa ata akishinda jubilee wanauwezo wa wabunge wake tu kupiga kura ya kuto kuwa na imani naye na uchaguzi ukarudiwa kuamini odinga atashinda uchaguzi kujisumbua odinga ataenda mahakamani tena
 
Maana yangu hapo mkuu ilikuwa kwamba Uhuru matumaini yake makubwa ni kwenye IEBC kucheza na matokeo. Anaona kizingiti kikubwa ktk hilo ni mahakama, ndiyo maana anambwatukia Maraga. Na ikiwa hivyo Odinga chali.
Yaani mkuu yovyote iwavyo,jaluo na urais ni umbali mithiri ya mashariki na magharibi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watapigwa tuuuusihofu chief!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Odinga kama wanavyomuita kifaranga cha Malaga hana chake asipobadiri ngia angani na kuja na mbinu mpya za kampeni...kushinda uchaguzi sio swala la maamuzi ya mahakama na kila mara kutaja kifo cha Chris n.k, hizo mbinu Raila hataingia Ikulu...mbinu pekee ni kuuza sera zao ziwafikie wananchi kila pembe ya Kenya, mijini na vijijini na kwa vile kila eneo lina mahitaji yake lazima wajipange kutoa ambazo zinatekelezeka..
Hii dhana ya kujaza wananchi kwenye viwanja vya kampeni aafu wakadhani ndio wingi wa kura itawapoteza tena maana badala ya kuwafahamisha wananchi manifesto yao itawafanyia nini wao wanatumia muda mwingi kuwashambulia jubilee na bla bla...
 
Binafsi kwenye sera siwaelewi kabisa NASA. Nasikia tu kelele miingi
 
Kenya kuna ukabila sana. Wakikuyu ambao ni wasomi sana, wanapesa na wanamiliki aridhi kubwa hawako tayari kutawaliwa na wajaruo. Odinga is wasting his time. Watafanya any mbinu Wakikuyu na makabira rafiki washinde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitalachomponza Odinga kukosa urais ni complacency ya watu wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…