pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Sasa ukikana si ndo unaonekana mhuni kabisa? Kubali yaishe! Wewe ndo uliyemuua Cris Musando, umeshatajwa na BONGE BONGE bana.
Mkuu umenichekesha sana,nimuue Msando kwani tukigombnia bibi moja?Sasa ukikana si ndo unaonekana mhuni kabisa? Kubali yaishe! Wewe ndo uliyemuua Cris Musando, umeshatajwa na BONGE BONGE bana.
Inaonyesha dhahiri kuwa huzifahamu siasa za kenya na changamoto zakeSikuzote watu wanaweza wakamkataa mtu fulani, lakini wako watakao shawishika na watu wengine kulingana na mazingira yanavyojionyesha.
Swali wanalojiuliza ni kwanini watu wengi wamemkubali Odinga? Hapa dalili za Odinga kuthaminishwa huanza kujitokeza.
Mfano hapa Tanzania, kuna watu walimkataa Lowasa na Upinzani mwanzoni, wakijiaminisha kua wao wanaiunga mkono CCM chama cha Nyerere.
Hata hivyo baada ya Ngoma yake kulia na kuchezwa sana kila mahali, watu wale wakajikuta wanaanza kumthaminisha na wanamuimba kuliko wimbo wa [HASHTAG]#Seduce[/HASHTAG] me wa ali kiba.
Tukirudi Kenya:-
Kwa hapa utaona Odinga amejenga mvuto na Ngoma yake inachezeka zaidi kwasababu Mahakama imeamua positive juu yake.
Mamuzi ya mahakama yanatoa Picha kwa wakenya kua Odinga ndiye anayependwa na ndiye alieshinda Uchaguzi na si Kenyatta.
Na hapa utaona, hata waliomkataa wataanza kumfikiria kua anafaa. Kwavile tu Mahakama ilimpa ushindi.
Watamchukulia Odinga kama mtenda Haki kwasababu mahakama ilimpa Haki. Na kinyume chake kwa Kenyatta ambaye alipoteza.
Hii ni dalili kua Odinga anakwenda kushinda U-Raisi ndani ya siku 60 zijazo
Hata hivyo wako wanaopingana na nadharia hii wakidai wakenya wana ukabila sana, hivyo zamu hii yale Makabila Tawala watahakikisha Odinga hashindi.
Jibu langu:- Nadhani sikuzote wako watu wasiofungamana na upande wowote hata ndani ya makabila Tawala. Hawa ni wale "swing". Wana sway anywhere..kulingana na wanachokifikiri wao.
Hawa wana uwezekano wakakaa upande wa Odinga zaidi.
2. Na rekodi za wananchi wa kenya zinaonyesha hawana Tabia ya kumtaka mtu aongoze Awamu 2 za Uraisi.mfano walimkataa Mwai kibaki dhidi ya Odinga kwenye uchaguzi wa Pili.
3. Inawezekana ikawa Ni kweli kua, Kenyatta aliashindwa Uraisi. Kama asingeiba asingeibuka mshindi..mnakumbuka yule jamaa aliekufa ghafla.
Zipo dalili kua wameshamkataa Kenyatta na jubilee yake.
4. Matokeo ya wabunge Jubelee inaongoza dhidi ya NASA ya Odinga, hata hivyo kama ni kweli wakina Kenyatta walichakachua matokeo kwa mujibu wa mahakama. Hii ina maana kua wingi wa wabunge wa Kenyatta hauwezi kumsaidia.
Nawasiliasha...
Updated
Sent using Jamii Forums mobile app
Alaa kumbe ni yale maneno yenu ya papuchi? We jamaa sasa unazidi kuwa suspicious, tupe jina la mwanamke mlokuwa mnagombania na Musando. Tunajua ni wewe uliyemuua! Utaongea. Hehehe mambo ya sirikali hayo. Kuwa na jioni njema mkuu.Mkuu umenichekesha sana,nimuue Msando kwani tukigombnia bibi moja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sikuwepo pahali alipouwawa,defence ya alibi inaniacquitt mkuu.Alaa kumbe ni yale maneno yenu ya papuchi? We jamaa sasa unazidi kuwa suspicious, tupe jina la mwanamke mlokuwa mnagombania na Musando. Tunajua ni wewe uliyemuua! Utaongea. Hehehe mambo ya sirikali hayo. Kuwa na jioni njema mkuu.
Wewe sio Mungu, subiri Mtajibiwa! Si mlianza kuua ma ICT!!!
Kama wewe ni mtanzania utakuwa unaelewa siasa ya Kenya zaidi hata ya wakenya wengine! Heko mkuu!Yawezekana waliomuua mtu wa ICT ni from NASA ili kuleta vurugu! Wote ambao wamekufa wapo zone za NASA siyo Jubilee yaani Kibra na Nyanza!!! kwa sababu ya maandamano ya kupinga election results. Ila wakati koti ilifuta ushindi wa Uhuru hapakuwa na maandamano wala vifo katika ngome ya Jubilee, so hapo ndiyo utajua killer ni nani!
Watakuwa watu wasojulikana mkuu...Hata tukisema kweli walimuua bwana Msando,je,tunafahamu ni upande upi uliomuua? Je,Msando alikuwa na upande katika wagombea? Maadili ya kazi yake yanamruhusu kulalia upande? Kama jibu ni hapana,je,ni nani waliomuua bwana msando ? Hii damu yake itamtokea nani puani?
Sent using Jamii Forums mobile app
numbers gani ambazo odinga hana ??? angepata hizo 7 million votes?? embu tuweni serious hivi mtu ambaye ana support kubwa kwenye all major cities za kenya si ni odinga sasa kivp unasema hana numbers?? anayo support south mpka coast north pia lakezone na western kenya ila huyo kenyatta ana supporr central pekee sasa hizo numbers gani odinga hana???mtoa mada hujui siasa za kenya hata uchaguzi ufanyike mara million matokeo hubadilika kidogo sana, kwasababu watu wanapiga kura kikabila so hakuna sera namba ya kina Odinga haitoshi kushinda uchaguzi
Anaweza kushinda shida ni je atatangazwa??? alafu usiwaamini sana hao manabii maana Mwenyezi Mungu anaweza kukupa maono kama kile kitu kina impact kwenye ufalme wake sasa odinga akishinda kuna impact gani kwa kanisa ama Mungu au ulimwengu wakiroho??? kma hakuna basi huyo nabii n feki kma alivyo TB Joshua aliyetabiri clinton kuwa Rais ilihali haikuwa hivyoKuna mchungaji wa kabisa LA WRM LA huku kivule, ndo nmetoka kumwangalia ye alitabiri Odinga atakua rais... Ndo nasubiri nione hiyo ngwe ya pili itakuaje.. Maana watu wake wanamwita NABII... Kwa wanaomjua anaitwa NICHOLAS SUGUYE
lakini mkuu ni sababu jubilee hawakuandamana dhidi ya court unlike NASA walivyoandamana dhidi ya results ina maana kma jubilee wangeandamana aggressively kma NASA huenda ingetokea ghasia na watu kuuawa sasa iweje ulinganishe hizi incidence mbili?Yawezekana waliomuua mtu wa ICT ni from NASA ili kuleta vurugu! Wote ambao wamekufa wapo zone za NASA siyo Jubilee yaani Kibra na Nyanza!!! kwa sababu ya maandamano ya kupinga election results. Ila wak yaaati koti ilifuta ushindi wa Uhuru hapakuwa na maandamano wala vifo katika ngome ya Jubilee, so hapo ndiyo utajua killer ni nani!
numbers gani ambazo odinga hana ??? angepata hizo 7 million votes?? embu tuweni serious hivi mtu ambaye ana support kubwa kwenye all major cities za kenya si ni odinga sasa kivp unasema hana numbers?? anayo support south mpka coast north pia lakezone na western kenya ila huyo kenyatta ana supporr central pekee sasa hizo numbers gani odinga hana???
mkuu umeelewa hoja yangu?? nmeuliza mnasema odinga hana namba je angewezaje pata 7 million??Hon Uhuru ana support ya GEMA yaani central zone yote kura kama 6 million, halafu ana kura za Kalenjin wote, yaani Rift Valley yote hasa baada ya Isaac Ruto Mkalenjini kurudi kundini hapo kura 3 million, halafu Waluhya wameamua kurudi serikalini baada ya mtoto wao Ken Lusaka kuwa man of order, Spika wa Seneti, then Ababu Namwamba, Dr Otuoma, Former spika Marende kurudi Jubilee na pia kwa sababu ya Raila kutaka watoto wawili wa IEBC, tume ya uchaguzi ambao ni Abaluhya yaani Chiloba na Chebukati waluhya wa Bungoma wafukuzwe kazi. Wasomali ni hivo hivo wamerudi Jubilee baada ya Raila kusema wasomali wawili waliopo IEBC wafukuzwe kazi lakini hakusema wale wa IEBC wakutoka Nyanza kwake amewalinda!!!!! Ni dhahiri Uhuru atashinda kwa zaidi ya 70% amini usiamini. Tuone baada ya 26/10/2017!!!!!Na hapa hatujaunganisha kura za Wamasai, Pwani na chache za Abagusii!
Kwani nyinyi huwa mnasikiza hizi kesi kivipi? Je unaweza elezea sisi uamuzi wa kila jaji wa mahakama ya SCoK kuhusiana na uchaguzi Mkuu wa Kenya?Uaminike bila substance mkuu,tema cheche.
Hata hivyo ukweli mkuu ni kwamba Kenyatta hatashinda uchaguzi.Mtu aliyeiba kura na kuwa proved na mahakama kwamba ni mwizi wa kura, atashindaje.He is so tainted.Ni mjinga tu anayeweza kumchagua mwizi kuwa Rais wake.
JifurahisheSikuzote watu wanaweza wakamkataa mtu fulani, lakini wako watakao shawishika na watu wengine kulingana na mazingira yanavyojionyesha.