UTABIRI: Oktoba 23, Simba 3 - 0 Yanga

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Declaration of interest.

Mimi ni Yanga kindakindaki na sina mkia wowote maungoni mwangu na moyoni mwangu.

Utabiri huu umeegemea upande wa kiroho zaidi kuliko upande wa kimwili ambao unajumuisha ubora wa timu, ubora wa wachezaji mmoja mmoja, mbinu za uwanjani na za nje ya uwanja.

Jambo lolote lile liwe la heri ama shari huanzia rohoni na ndipo hudhihirika mwilini. Mechi ya Simba na Yanga imechezwa leo kwenye ulimwengu wa roho, na Simba imeshinda kwa bao 3 na Yanga wamepata 0.

Hongereni sana Mshana Jr, OKW BOBAN SUNZU , GENTAMYCINE na wana Simba wengine.

Yanga wenzangu tuanze kujiandaa tu kisaikolojia kukabiliana na huu ukweli mchungu.
 
Wewe Ni KOLO WIZARDS..
...

Yanga hawezi fungwa na Simba.....
 
Mi Mwenyewe ndo hivyo hivyo....!

Najitutumua kuamini Yanga tutashinda Lkn Kuna Ka 'roho' Kanasema...'Safari hii Hutoboi'..!

Sijui haka Ka 'Roho' kamenitokea Wapi?
 
Mechi ya Simba na Yanga imechezwa leo kwenye ulimwengu wa roho, na Simba imeshinda kwa bao 3 na Yanga wamepata 0.[emoji1752]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…