UTABIRI: Oktoba 23, Simba 3 - 0 Yanga

UTABIRI: Oktoba 23, Simba 3 - 0 Yanga

Declaration of interest.

Mimi ni Yanga kindakindaki na sina mkia wowote maungoni mwangu na moyoni mwangu.

Utabiri huu umeegemea upande wa kiroho zaidi kuliko upande wa kimwili ambao unajumuisha ubora wa timu, ubora wa wachezaji mmoja mmoja, mbinu za uwanjani na za nje ya uwanja.

Jambo lolote lile liwe la heri ama shari huanzia rohoni na ndipo hudhihirika mwilini.

Mechi ya Simba na Yanga imechezwa leo kwenye ulimwengu wa roho, na Simba imeshinda kwa bao 3 na Yanga wamepata 0.

Hongereni sana Mshana Jr, OKW BOBAN SUNZU , GENTAMYCINE na wana Simba wengine.

Yanga wenzangu tuanze kujiandaa tu kisaikolojia kukabiliana na huu ukweli mchungu
Tokea Wiki iliyoisha nilisema na bado nasema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Simba SC Jumapili tarehe 23 Oktoba, 2022 anaenda Kumfunga / Kuifunga Yanga SC Uwanja wa Mkapa.

Pona pona ya Yanga SC labda Sare.
 
Hakuna date Makolo mnatiwa moja tumbavu
 
Wewe ni mkia tu kama mikia wengine

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Jiandaeni....
FB_IMG_1665674197388.jpg

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini, Yanga inaenda kupoteza mchezo wake weekend hii. Si mmeshacheza rohoni na mdomoni? Acheni Yanga tukacheze uwanjani tarehe 23...
YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO...
WATOTO WA JANGWANI... 💚💛
 
Declaration of interest.

Mimi ni Yanga kindakindaki na sina mkia wowote maungoni mwangu na moyoni mwangu.

Utabiri huu umeegemea upande wa kiroho zaidi kuliko upande wa kimwili ambao unajumuisha ubora wa timu, ubora wa wachezaji mmoja mmoja, mbinu za uwanjani na za nje ya uwanja.

Jambo lolote lile liwe la heri ama shari huanzia rohoni na ndipo hudhihirika mwilini. Mechi ya Simba na Yanga imechezwa leo kwenye ulimwengu wa roho, na Simba imeshinda kwa bao 3 na Yanga wamepata 0.

Hongereni sana Mshana Jr, OKW BOBAN SUNZU , GENTAMYCINE na wana Simba wengine.

Yanga wenzangu tuanze kujiandaa tu kisaikolojia kukabiliana na huu ukweli mchungu.
Mimi naziona 4 au 5 kwa simba afu uto 0
 
Tokea Wiki iliyoisha nilisema na bado nasema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Simba SC Jumapili tarehe 23 Oktoba, 2022 anaenda Kumfunga / Kuifunga Yanga SC Uwanja wa Mkapa.

Pona pona ya Yanga SC labda Sare.
Mganga wenu kuwadanganya.. kwa ufupi sana anawatapeli
 
Back
Top Bottom