UTABIRI: Oktoba 23, Simba 3 - 0 Yanga

Tokea Wiki iliyoisha nilisema na bado nasema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Simba SC Jumapili tarehe 23 Oktoba, 2022 anaenda Kumfunga / Kuifunga Yanga SC Uwanja wa Mkapa.

Pona pona ya Yanga SC labda Sare.
 
Hakuna date Makolo mnatiwa moja tumbavu
 
Wewe ni mkia tu kama mikia wengine

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini, Yanga inaenda kupoteza mchezo wake weekend hii. Si mmeshacheza rohoni na mdomoni? Acheni Yanga tukacheze uwanjani tarehe 23...
YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO...
WATOTO WA JANGWANI... 💚💛
 
Mimi naziona 4 au 5 kwa simba afu uto 0
 
Ubishi na lawama ndiyo asili yao utopwinyo
Lawama ziwaendee wafuatao:-
  • Marefa
  • Bodi ya ligi
  • Marefa
  • Management ya uwanja
  • Polisi walinzi wa uwanja
  • Kiwanda cha kutengeneza mipira
  • Na kiwanda cha jezi, jezi zina majengo, mitaa na makaburi unategemea nini? Mshana Jr alishasema kuhusu ile jersey
 
Tokea Wiki iliyoisha nilisema na bado nasema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Simba SC Jumapili tarehe 23 Oktoba, 2022 anaenda Kumfunga / Kuifunga Yanga SC Uwanja wa Mkapa.

Pona pona ya Yanga SC labda Sare.
Mganga wenu kuwadanganya.. kwa ufupi sana anawatapeli
 
Hizi ni ndoto?
Simba bado hana timu ya kuifunga Yanga goli 3 bado ushindi wa Simba kwa Yanga utabaki ni sare tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…