Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Mkuu wengine wajifunze si kukurupuka na kuanza kuchambua ovyo ovyo.

Kupitia huu uzi wachukue tahadhali [emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu inahitaji ujasiri kutazama ulichotabiri kinageuka juu chini
 
Vipi mzee na leo Guardiola hakuwa serious na match eeeh, alikuwa ana rotate kikosi sivyo eeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee hebu sogea upande huu utoe comment kidogo
Guardiola kawazawadia kombe, starting a game like this of this magnitude without your two holding midfilders ni utani, kila anaeujua mpira kamshangaa.

No Fernandinho. No Rodri. Wow!.

Kaanza na kikosi ambacho hajawahi kukichezesha kabla yani ni utani, ndio maana Kante kazungusha pale kati kama malaika, amefanya majaribio kwenye game ya fainali I can't blv this.

Angeanza na kikosi kilichomtoa Dortmund na PSG msingetoka, Im very sure on this, tatizo lake anapenda majaribio yasiyo na maana.

Anyway, congrats kwa kupewa kombe na Guardiola himself.
 
Vipi mzee na leo Guardiola hakuwa serious na match eeeh, alikuwa ana rotate kikosi sivyo eeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes, hakuwa serious, game ya final UCL ameenda na kikosi cha majaribio.
 
Unafikiri mpira ni kuropoka ropoka tu
"A winning side never change" Guardiola kavunja hiyo sheria ndio maana yamemkuta, he simply created a seed of his own destruction.
 
🀣🀣🀣🀣 Ila we jamaa ni bonge la comedian duuh!!
Eti hakuwa serious, hiyo ndo ilikuwa game plan yake yaani uwezo wake kimbinu ndio umeishia hapo. Sasa wewe kocha wa mwadui sijui mashujaa eti unamuona Guardiola mjinga πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yes, hakuwa serious, game ya final UCL ameenda na kikosi cha majaribio.
Nilisema humu uache maneno mengi hukusikia ona sasa kilicho kukuta, Chelsea mliibeza sana tangu makundi ila jamaa wakashusha vipigo hadi mnashangaa.

Ukajitapa sana humu eti match itaisha first half πŸ˜‚πŸ˜‚.
Huyo Guardiola hajawahi kutamba mbele ya Chelsea tangu akiwa Barcelona na siku zote unatakiwa kujua kuwa Chelsea kwenye match za Final ya UEFA ni watu hatari sana ni kheri ukutana na Barce au Madrid kwenye final ila sio Chelsea watakutia aibu mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…