Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Leo tena wamepasuliwaChelsea watoto wadogo sana hao, watapasuliwa vibaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo tena wamepasuliwaChelsea watoto wadogo sana hao, watapasuliwa vibaya.
We jamaa bana wacha pressure, Guardiola kabadilisha mpaka mfumo kacheza 5-1-3-1 sijui umewahi kuuskia kabla? na amefanya eight changes still jamaa ana rotate tu, plus Aguero nae kuonesha hawako serious akapiga ile penalt kisanii sasa watoto bado mnachekelea tu, subiri 29.5. mzee wa Namungo utapata majibu yako.Vipi mzee na leo City hawakuwa serious na match au sio?[emoji1787][emoji1787]
Huu uchambuzi wa kimahaba utawatia aibu kila siku huu
🤣🤣🤣🤣🤣 Hakika JF sitoki hadi nife Kuna burudani ya aina yake aisee.We jamaa bana wacha pressure, Guardiola kabadilisha mpaka mfumo kacheza 5-1-3-1 sijui umewahi kuuskia kabla? na amefanya eight changes still jamaa ana rotate tu, plus Aguero nae kuonesha hawako serious akapiga ile penalt kisanii sasa watoto bado mnachekelea tu, subiri 29.5. mzee wa Namungo utapata majibu yako.
Mkuu kwa huu uzi mambo yalivyotokea na yanavyoendelea kutokea hapo bonyeza # tu.Kupata vichekesho vingine kama hivi tunabonyeza namba ngapi ndugu mleta mada? Maana safari ya PSG ndo ishaisha hivyo
Ndio maana nilisema game ya final sina cha kusema maana mambo yamekwisha kwenda tofauti na ramani zangu.[emoji23][emoji23]Vipi mzee na leo City hawakuwa serious na match au sio?[emoji1787][emoji1787]
Huu uchambuzi wa kimahaba utawatia aibu kila siku huu
Yangu macho tu kwa sasa aisee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakika JF sitoki hadi nife Kuna burudani ya aina yake aisee.
Hata tarehe 29 utakuja na ngonjera hizi hizi yana we kila siku unapigwa tu alafu eti unasema una rotate kikosi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Guardiola kazidiwa mbinu mbali sana na mr TT, kipigo kitaendelea tarehe 29.
Hiyo mechi tayari ni chenga sioni kitu kabisa maana waingereza wote ngumu kwa upande wangu.Big up mkuu, hebu chambua fainali nani anashinda
Hakika naukana mara tatu huu uzi siujui wa nani.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]unaukana mara tatu!
[emoji23][emoji23][emoji23]Naona mtoa mada alikuwa anamaanisha inversely propositional na alichokiandika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzi hamna haja ya kufuta watu wajifunze wasiwe majuka wa kutaka kuchambua soka kinjuka njuka kumbe mpira dakika 90.Futa huu uzi mkuu.
Kila la kheri sisi yetu macho maana chambuzi zimetutoa KO.Nilikuwa PSG nikavuliwa nguo, nikahamia Madrid nikanyolewa bila ganzi.
Sasa nasimama na chama langu la muda mrefu la enzi za kina Essien pamoja na kocha wetu mstaafu.
Sikutaka kurudi tena kwenye chambuzi sasa nimepumzika kwa muda kwa haya yaliyotokea na nilichokisema.Roma atapindua meza? Arsenal je?
Ninja niliingia mkenge[emoji23]Hili ni kudu ninja
Mkuu kwema lakini?Kichwa Kichafu mno tu.
Nimekula mbuzi wa watu mgonjwa hajapona ndicho kilichotokea kwenye huu uzi.We mganga KULIKONI?
Ongea na mods huu Uzi waufute ,mkuu unazid kudhalilika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sikutaka kurudi tena kwenye chambuzi sasa nimepumzika kwa muda kwa haya yaliyotokea na nilichokisema.
Kilichotokea ni aibu!Halafu ikawaje ?
Hahahaha mkuu sasa huo utakuwa wehu acha tusubiri uzi mwingine [emoji23][emoji23]Kawaombe Mods waedit na waseme “ Chelsea ya Tuchel ndio Mabingwa wa UEFA mwaka 2021”
Nimewaelewa mkuu.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mtoa mada,Tuliosema Man City bila shaka umetuelewa.
Hata Madrid leo wanatolewa
@Planett hata hii salamu imekuwa nzito kuipokea kwa huu uzi.Kichwa Kichafu nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania