Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Vipi mzee na leo City hawakuwa serious na match au sio?[emoji1787][emoji1787]
Huu uchambuzi wa kimahaba utawatia aibu kila siku huu
We jamaa bana wacha pressure, Guardiola kabadilisha mpaka mfumo kacheza 5-1-3-1 sijui umewahi kuuskia kabla? na amefanya eight changes still jamaa ana rotate tu, plus Aguero nae kuonesha hawako serious akapiga ile penalt kisanii sasa watoto bado mnachekelea tu, subiri 29.5. mzee wa Namungo utapata majibu yako.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Hakika JF sitoki hadi nife Kuna burudani ya aina yake aisee.
Hata tarehe 29 utakuja na ngonjera hizi hizi yana we kila siku unapigwa tu alafu eti unasema una rotate kikosi 🤣🤣🤣 Guardiola kazidiwa mbinu mbali sana na mr TT, kipigo kitaendelea tarehe 29.
 
Kupata vichekesho vingine kama hivi tunabonyeza namba ngapi ndugu mleta mada? Maana safari ya PSG ndo ishaisha hivyo
Mkuu kwa huu uzi mambo yalivyotokea na yanavyoendelea kutokea hapo bonyeza # tu.
 
Vipi mzee na leo City hawakuwa serious na match au sio?[emoji1787][emoji1787]
Huu uchambuzi wa kimahaba utawatia aibu kila siku huu
Ndio maana nilisema game ya final sina cha kusema maana mambo yamekwisha kwenda tofauti na ramani zangu.[emoji23][emoji23]

Acha niwatazame wachambuzi nyie maana vituko haviishi boss.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakika JF sitoki hadi nife Kuna burudani ya aina yake aisee.
Hata tarehe 29 utakuja na ngonjera hizi hizi yana we kila siku unapigwa tu alafu eti unasema una rotate kikosi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Guardiola kazidiwa mbinu mbali sana na mr TT, kipigo kitaendelea tarehe 29.
Yangu macho tu kwa sasa aisee.
 
Big up mkuu, hebu chambua fainali nani anashinda
Hiyo mechi tayari ni chenga sioni kitu kabisa maana waingereza wote ngumu kwa upande wangu.

Ni wakati wangu kutazama wachambuzi wa humu ila wasiende mkenge kama mimi.
 
Naona mtoa mada alikuwa anamaanisha inversely propositional na alichokiandika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]

Maana yote yamekuwa inversely proportional ya kilichoandika na kilichotokea.

Uzi = 1/ Game Results.
 
Nilikuwa PSG nikavuliwa nguo, nikahamia Madrid nikanyolewa bila ganzi.

Sasa nasimama na chama langu la muda mrefu la enzi za kina Essien pamoja na kocha wetu mstaafu.
Kila la kheri sisi yetu macho maana chambuzi zimetutoa KO.
 
Back
Top Bottom