Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Nyie underdogs mna viburi sana, viboko vyenu tarehe 29.05.2021 The Ataturk Stadium.

Nashangaa Chelsea kuwafunga wale wazee mnajiona mmemaliza kazi, ile game yenu ya FA Guardiola ali rotate kikosi, ile haikuwa first eleven.
Guardiola Hana first 11
 

Habari.

Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba:

Leg 1.
27 April 2021 Tuesday

Paris Saint Germain Vs Manchester City


Real Madrid Vs Chelsea


Leg 2.
04 May 2021 Tuesday

Manchester City Vs Paris Saint-Germain

Chelsea Vs Real Madrid


Hapo bila kupepesa macho mpira anaocheza Paris Saint Germain dhidi ya kocha wao Pochettino umekuwa na nidhamu ya kutafuta matokeo tu hakuna kingine.

Hivyo basiasi ubishe usibishe Paris Saint Germain atakuwa Champion wa ligi ya mabingwa ulaya.

Final itachezwa 29 May 2021 Ataturk Olympics Stadium.

Final itakuwa ni Paris Saint Germain Vs Real Madrid na bingwa atakuwa Paris Saint Germain.


Updates. 29/04/2021

Baada ya first leg matokeo yamekuwa yakishangaza kulingana na uzi wenyewe ila amini nawaambia wengi watashangazwa zaidi baada ya 2nd leg.

1st leg.

Real Madrid 1 - 1 Chelsea
✓Pulisic[emoji460]
✓Benzema[emoji460]

PSG 1 - 2 Manchester city
✓Marquinhos[emoji460]
✓De Bruyne [emoji460]
✓Mahrez [emoji460]

Hakika naendelea kuona PSG bado ana nafasi ya kusonga mbele vizuri kabisa kwa mpira niliyoona jana kwa zaidi ya dakika 50 alipiga mpira mwingi sana na hata Etihad nategemea wataweza kupindua meza vyema.

Real Madrid ana nafasi ngumu japo Chelsea waliweza kupambana na kucheza mpira mwingi ila pale darajani naona watalala na viatu pia naendelea kumpa nafasi Real Madrid kuendelea mbele.

Updates. 06/05/2021

Baada ya 2nd leg iliyochezwa tar 4th & 5th May 2021.

Hakika matokeo yamekuwa tofauti kabisa na maudhuhi ya huu uzi maana timu zote zikizopewa nafasi na huu uzi zimepokea kipigo cha mbwa mwizi yaani kipigo cha mtema-kuni.

Chelsea 2 - 1 Real Madrid
✓Timo Werner[emoji460]
✓Mason Mount[emoji460]

Manchester city 2 - 0 PSG
✓Mahrez[emoji460]
✓Mahrez [emoji460]



Hivyo kufanya vikongwe kutoka spain kulamba mwiko mkavu huku hawa wakulima kutoka ufaransa wakirudi na majembe pamoja na vifaa vyote vya shambani kwao wakiambulia patupu. Na kufanya marudio ya kuingia timu zote kutoka England.

Chelsea. Vs Manchester city

Tusubiri fainali hiyo ikiwa wengi wana prediction tofauti tofauti ila upande wangu hadi sasa sijui nani na sina prediction yeyote yangu ni macho kama ni usambuzi basi nimepiga F.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
Kupata vichekesho vingine kama hivi tunabonyeza namba ngapi ndugu mleta mada? Maana safari ya PSG ndo ishaisha hivyo
 
Eroo nimekwambia match ya FA Man City wali-rotate kikosi watu kama Mahrez, Gundogan, B. Silva, Foden, wote hawakuanza, tulia siku inakuja ushuhudie mateso mtakayopata.

Kuhusu Namungo kujitutumua una uwezo wakati ukweli hauna ni kama kaulevi flani hivi.
Vipi mzee na leo City hawakuwa serious na match au sio?🤣🤣
Huu uchambuzi wa kimahaba utawatia aibu kila siku huu
 
Back
Top Bottom