Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Unawaza final wakati Madrid yuko hapo nje kwenu anawasubiri, ile game ya kwanza second half Madrid hakucheza akijua mngeweza muotea ya ugenini, leo ndio mtajua Madrid ni nani.

Ramos akiwepo kwenye timu wale jamaa ndio huwa vichaa zaidi, full mibangi, ogopeni sana corner na faulu za Madrid Ramos atawapiga vichwa hafai.
Rudi tena uandike upya comment yako...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man city tulimpiga fa na sisi ndio tulioposses game kitu ambacho unapaswa kujua kila game inamahitaji tofauti game approach ya game ya 1 kwanza dhidi ya Madrid tofauti na hii kwa sababu Tuchel alijua Madrid atakuja kushambulia Sana na ndio akaanda hii approach ya hii game
"Kila game ina mahitaji tofauti" ndio utajua hata ile mliyomfunga City FA itakuwa ni tofauti na hii fainali ya UEFA.
 
Naona mtoa mada alikuwa anamaanisha inversely propositional na alichokiandika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
safi bila shaka utacheza pia
Bado mnashupaza shingo tu? Huu mtiti hauhitaji hasira, chuki wala papara. Guardiola anafahamu kabisa tarehe 29 kazi ipo.
Nyie underdogs mna viburi sana, viboko vyenu tarehe 29.05.2021 The Ataturk Stadium.

Nashangaa Chelsea kuwafunga wale wazee mnajiona mmemaliza kazi, ile game yenu ya FA Guardiola ali rotate kikosi, ile haikuwa first eleven.
 
Back
Top Bottom