The Iron
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 1,396
- 1,464
Big up mkuu, hebu chambua fainali nani anashindaHuu uzi sijui nani ameandika?
Naona kaandika vitu hawiendani kabisa na soka.
NB: HUU UZI NIMEUKANA KWA AKILI ZANGU TIMAMU SI MIMI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Big up mkuu, hebu chambua fainali nani anashindaHuu uzi sijui nani ameandika?
Naona kaandika vitu hawiendani kabisa na soka.
NB: HUU UZI NIMEUKANA KWA AKILI ZANGU TIMAMU SI MIMI.
[emoji16][emoji16][emoji16]jiwe walilolikataa waashi litatuletea wokovu. Hata kwa Bayern mlisema sana, wakaucheza mwingi sana, baada ya dakika 120+ matuta, akina Schweinsteiger walikuwa wakilia na makamasi yanawadondoka.Nyie underdogs mna viburi sana, viboko vyenu tarehe 29.05.2021 The Ataturk Stadium.
Nashangaa Chelsea kuwafunga wale wazee mnajiona mmemaliza kazi, ile game yenu ya FA Guardiola ali rotate kikosi, ile haikuwa first eleven.
Hata yeye angependelea kukutana na Madrid kuliko Chelsea maana yeye anataka kuweka historia Man City na wale watoto wa Chelsea na kocha wao wanataka kuweka historia pia.Bado mnashupaza shingo tu? Huu mtiti hauhitaji hasira, chuki wala papara. Guardiola anafahamu kabisa tarehe 29 kazi ipo.
Wewe takataka huna uwezo wa kutabili chochote ,tabili zako zote zimeenda kombo..Updates. 06/05/2021
Baada ya 2nd Leg iliyochezwa tar 4th & 5th May 2021.
Hakika matokeo yamekuwa tofauti kabisa na maudhuhi ya huu uzi maana timu zote zikizopewa nafasi na huu uzi zimepokea kipigo cha mbwa mwizi yaani kipigo cha mtema-kuni.
Chelsea 2 - 1 Real Madrid
✓Timo Werner[emoji460]
✓Mason Mount[emoji460]
Manchester city 2 - 0 PSG
✓Mahrez[emoji460]
✓Mahrez [emoji460]
Hivyo kufanya vikongwe kutoka spain kulamba mwiko mkavu huku hawa wakulima kutoka ufaransa wakirudi na majembe pamoja na vifaa vyote vya shambani kwao wakiambulia patupu. Na kufanya marudio ya kuingia timu zote kutoka England.
Chelsea. Vs Manchester city
Tusubiri fainali hiyo ikiwa wengi wana prediction tofauti tofauti ila upande wangu hadi sasa sijui nani na sina prediction yeyote yangu ni macho kama ni usambuzi basi nimepiga F.
Kwanini hiyo first eleven haikufanya kazi kwenye match ya FA au lile lilikuwa bonanza tu??Karibu mjini. Rotation ya kikosi ndio iliwaua City kwenye ile game, first eleven ya City inamtandika Chelsea vizuri kabisa.
Wewe hata Namungo uliwaamini Confederations!, ila kilichowakuta siri yako.
Kijana kauri gani hizo unakaa jalalani nini?Wewe takataka huna uwezo wa kutabili chochote ,tabili zako zote zimeenda kombo..
Mimi nipo hapa hapa duniani mkuu .!Kijana kauri gani hizo unakaa jalalani nini?
Hakika kwa uzi huu sikatai kuitwa takataka boss wangu.Wewe takataka huna uwezo wa kutabili chochote ,tabili zako zote zimeenda kombo..
Eroo nimekwambia match ya FA Man City wali-rotate kikosi watu kama Mahrez, Gundogan, B. Silva, Foden, wote hawakuanza, tulia siku inakuja ushuhudie mateso mtakayopata.Kwanini hiyo first eleven haikufanya kazi kwenye match ya FA au lile lilikuwa bonanza tu??
Hata Madrid si ndivyo mlivyo sema kuwa itawatandika tu hao Chelsea kilicho tokea wote tumekiona?
Namungo nilicho kupinga mimi ni tabia ya kukiri udhaifu tu ovyo eti kisa tumepangwa na Raja, pyramids na Nkama basi ndio kiwe kigezo cha sisi tukubali kujiona kama mapanzi kabla hata match kuchezwa?
Hiyo hapana kabisa kule lazima ukutane na vigogo na hakuna namna lazima upambane na sio kukata kata tamaa kabla hata ya kujaribu.
Wapo vizuri, kumfunga R.Madrid na other giant clubsWamekushangaza kivip?
Chelsea wako vizuri vibaya sema ushabiki wako uliouweka ndio umeona wamekushangazaWapo vizuri, kumfunga R.Madrid na other giant clubs
Wako vizuri vibaya maana yake nini?Chelsea wako vizuri vibaya sema ushabiki wako uliouweka ndio umeona wamekushangaza
Pep angetamani sana apewe Real Madrid maana anaujua mtiti wa Chelsea under Tuchel..Bado mnashupaza shingo tu? Guardiola anafahamu kabisa tarehe 29 kazi ipo.
Chelsea watoto wadogo sana hao, watapasuliwa vibaya.Pep angetamani sana apewe Real Madrid maana anaujua mtiti wa Chelsea under Tuchel..
FA GOALKEEPER TU WA CITY ALIKUWA KITUKO MARA MENDY KITAMBITatizo umekariri hata hufuatilii form mpya!! Huyo man City kafungashwa virago na Chelsea kombe la FA!! Hana ubavu wa kuinyanyasa Chelsea! Shilingi yangu naiweka kwa Chelsea!
Mzee city bingwa hilo lipo waziPep angetamani sana apewe Real Madrid maana anaujua mtiti wa Chelsea under Tuchel..
Wavuta bangi hao mzee