Richard spencer
JF-Expert Member
- Feb 22, 2021
- 1,225
- 1,993
Ni timu ya kawaida tu, Liverpool wamekosa nafasi kibao. Kwa timu zilizobaki Man city na Psg wana ubora kuliko wao ingawa kwa mpira chochote kinawezekana.Real madrid hua wanapandwa na mapepo ya ubingwa wakifika nusu fainali. Ukiangalia jana walicheza bila mabeki wao watatu wa kuwategemea. Sergio Ramos, Raphael Varane, Dan Carvajal. Pale katikati wana casemiro, mondrick, na Krose. Viungo wote hawa ni Seniors na wana uzoefu mkubwa sana, pamoja na kua wamechukua uefa mara nne ndani ya madrid, ila wanakua na njaa ya mafanikio vibaya mno.
Angalia jana walivyocheza, ni kama timu mbovu hivi, lakini zidane ni kocha wa matokeo, hana mpira mzuri ila...