Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Real Madrid asingekuwepo sawa, Yaani hao jamaa wakifika hatua hiyo wanakuwa hatari kuliko stage za awali.....wanasenior players ambao hawahitaji motivation, wanajiongoza wenyewe na watabeba ndoo
Ni kweli mkuu kuna jamaa nilimwambia timu ya kuogopa ni hao jamaa yaani Madrid wakifikaga hapo hawajawahi kosea japo mechi za awali huwa wanatembelea ngekewa
 
Ni kweli mkuu kuna jamaa nilimwambia timu ya kuogopa ni hao jamaa yaani Madrid wakifikaga hapo hawajawahi kosea japo mechi za awali huwa wanatembelea ngekewa
Na wamestruggle sana na injuries.......wamefika hapo bila Hazard kuwa na mchango wowote....jiulize angekuwa fit 95% tu........Ramos akiongezeka inakuwa hatari zaidi
 
kapo katoto ka kibrazili pale city kuna kipind Pep alikuwa anakipenda sana

uwa kanaweza mpiga chenga had kipa alfu kufika golin kanabaki kanashangaa hakajui cha kufanya had kipa anaamka kule alipopigwa chenga anakuja kudaka mpira
Mbona huwa anafungaga
 
Mi nishabiki wa Chelsea ila niseme ukweli Mark my words kombe linaenda Spain anachukua real Madrid ila ikitokea the blues amemtoa real Madrid


Basi bila ubishi kombe ni la Chelsea ..yaani wakifikaga sem final hawa vijana wa Bernabeu wapo moto sana plus wana experienced player




Kwa upande huu mwengine psg anamtoa Manchester city


Hivyo

Paris saint German vs Real Madrid/Chelsea
 
Timu bora kwa sasa ulaya ni.
1. Bayern Munich
2. Man City
3. PSG.
Psg Kamwondoa bingwa mtetezi, Munich, japo kwa upepo. Anakuja kukutana na timu bora baada ya Munich. ManCity. Hawa jamaa wapo vizuri sana. Psg hawana ubora wa city. Hii game ni ngumu ila naamini kwa 100% city anavuka hii round.
Madrid vs Chelsea hii game nayo ipo 50/50. Chelsea wamebadilika baada ya kumpata Tuchel, wanacheza mpira mzuri na wa kushambulia. Yeyote hapa anapita.

Fainal itakuwa ni City vs Madrid/chelsea. Na City anaibuka kidedea hapa.
Guandiolla anaenda kunyanyua kwapa baada ya kulikosa kombe kwa muda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom