Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Man city haiwezi kumtoa PSG semi Final, kama mliweza kutepeta kwa Borrusia Dortmund ambayo karibu kikosi kizima ni under twenty mtaweza kupambana na kikosi imara kama PSG ?
Mtu tumempiga nje ndani aggregate ya 4-2 ..

Unakuja kusema nini ..

Hivi mpira unaangalia wewe nyang'ao ?

Ninawasiwasi na jinsia yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari.

Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba:

Leg 1.
27 April 2021 Tuesday

Paris Saint Germain Vs Manchester City


Real Madrid Vs Chelsea


Leg 2.
04 May 2021 Tuesday

Manchester City Vs Paris Saint-Germain

Chelsea Vs Real Madrid


Hapo bila kupepesa macho mpira anaocheza Paris Saint Germain dhidi ya kocha wao Pochettino umekuwa na nidhamu ya kutafuta matokeo tu hakuna kingine.

Hivyo pasi ubishe usibishe Paris Saint Germain atakuwa Champion wa ligi ya mabingwa ulaya.

Final itachezwa 29 May 2021 Ataturk Olympics Stadium.

Final itakuwa ni Paris Saint Germain Vs Real Madrid na bingwa atakuwa Paris Saint Germain.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
I bet on R Madrid.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo umekariri!! Ndoo anabeba Chelsea. Kwanza hana pressure, pili nguvu zake zote na mawazo yake yote amewekeza champions league wakati hawa wengine wanawaza pia kubeba ndoo kwenye ligi zao. Ndio maana chelsea hakuwa na mawazo na mechi ya epl dhidi ya west ham akafungwa 5-1, lakini akamfunga porto 2-0!! Wasiokariri wanajua chelsea mwaka huu ni simba mwenda pole ndiye mla nyama!! Mtanikumbuka!
Uchambuzi gani ,dakika 90 unazielewa lakini
 
Madrid na Man city final.. Mmoja wao bingwa

Roma na Villarreal final.. Villareal bingwa
 
Mechi ya man city vs psg,Kuna mtu anaenda kudhalilika kwa bao nyingi.Tusubiri
 
Kumbuka kuna mchango wa huyu dogo anaitwa Vini JR ambae kwa sasa akili yake imekomaa na ameacha utoto aliokua nao.
Vini jr huyu huyu ambae game ya barca first touch zake nyingi zilikuwa mbovu na pasi zisizofika tunaposhambulia, huyu dogo game ya liver pia kazingua. Hazard wa chelsea angekuwa ndio wa madrid na angecheza game ya barca tungeshinda nyingi kweli.
 
Back
Top Bottom