Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Man city kachapwa na Chelsea
Anaenda chezea kwa Mourinho
Akitoka hapo anaenda kubemendwa na mbappe/neymar

Chelsea vs Madrid 50/50 ila naona Madrid atakuwa na chance kubwa kama wachezaji wake muhimi wakipona majeruhi

Final Madrid vs Psg. Kwa beki nzee za Madrid sioni wa kukimbizana na mbape
 
Habari.

Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba:

Leg 1.
27 April 2021 Tuesday

Paris Saint Germain Vs Manchester City


Real Madrid Vs Chelsea


Leg 2.
04 May 2021 Tuesday

Manchester City Vs Paris Saint-Germain

Chelsea Vs Real Madrid


Hapo bila kupepesa macho mpira anaocheza Paris Saint Germain dhidi ya kocha wao Pochettino umekuwa na nidhamu ya kutafuta matokeo tu hakuna kingine.

Hivyo basiasi ubishe usibishe Paris Saint Germain atakuwa Champion wa ligi ya mabingwa ulaya.

Final itachezwa 29 May 2021 Ataturk Olympics Stadium.

Final itakuwa ni Paris Saint Germain Vs Real Madrid na bingwa atakuwa Paris Saint Germain.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
Dogo kataa usikatae,pamoja na kwamba Real Madrid haiko vizuri sana,lakini ikifika hatua kama hizi huwa inalitolea macho kombe hatari. Na kama ulivyosema,akiingia tu final hesabu maumivu kwa PSG. Sijui kuuchambua mpira ila najua kabisa Madrid wakifika hatua kama hizi usiwaguse
 
Real Madrid asingekuwepo sawa, Yaani hao jamaa wakifika hatua hiyo wanakuwa hatari kuliko stage za awali.....wanasenior players ambao hawahitaji motivation, wanajiongoza wenyewe na watabeba ndoo
Cr 7 alikuwa na mchango mkubwa kwa kipindi chote hicho ulichokisema boss.

Ila mpira dk 90.
 
Kwenye soka lolote linaweza kutokea na hutakiwi kubeza.
Kuna mwana kakomaa kabisa anakwambia piga uwa Chealsea anabeba ubingwa,na ukimbishia anakwambia minaweka laki moja wewe weka kishkizo cha shati.
Huyo anaongea kwa sababu mapenzi ya timu yamezidi uhalisia wake.
 
Huyo Tuchel alikuwa na PSG yenye kikosi bora zaidi ya hicho alichonacho.

Kikosi bora kwenye makaratasi tu zaidi ya hapo hakuna kingine,unafahamu kwamba Jose Mourihno alichukua hiyo hiyo UEFA na FC PORTO,(ilikuwa kawaida tu) lakini akachemka akiwa na moja ya kikosi bora kabisa at Real Madrid?
 
Huyo Tuchel alikuwa na PSG yenye kikosi bora zaidi ya hicho alichonacho.
Hakikuwa bora sana kama cha Bayern Munich. Hata kwenye final match kama uliangalia Bayern alishinda kwa mbinde sana.

Kama Chelsea atapenya na kutinga fainali, lolote linaweza kutokea. Kwenye big matches confidence ya wachezaji inakuwa kubwa sana na kosa moja unaweza kuwa punished vibaya mno. Juzi kati tu hapa kwenye FA cup City kakalishwa na Chelsea na hiyo ni message kwenye Champions league
 
Nikweli ila hata draw ya Liverpool ilipotoka walisema Madrid byee......msingi hapa siyo mtu ila aina ya wachezaji walionao, wengi ni washindi (winners 🏆).......so hawahitaji kubustiwa, wanajibusti wenyewe
Cr 7 alikuwa na mchango mkubwa kwa kipindi chote hicho ulichokisema boss.

Ila mpira dk 90.
 
Kwa mara ya kwanza kabisa nafanana mtazamo na mbumbumbu fc!!
Naunga mkono hoja.

Natamani sana chama langu la Chelsea libebe ndoo mwaka huu! Ika tatizo lake lina watoto wengi wa chekechea na ina washambuliaji butu ukilinganisha na wakongwe wa Real Madrid, PSG na Man City.
Chelsea itawashangaz wengi msimu huu. Kaeni hivyo msubiri maajabu.

Ujiulize hao watoto wamefikaje nusu fainali?
 
Alikosa bahati

Na alikosa uzoefu wa kimashindano

Kwa mwaka huu naona anahamu ya kombe
Huyo PSG mwaka jana tu alicheza fainali na kikosi chake ila uzoefu na pressure iliwakwamisha japo walicheza vizuri sana na Bayern Munich alishinda kwa mbinde tunaweza sema.

Mwaka huu mambo yamekuwa tofauti na kama uzoefu basi huyo Man city tena anaweza kufa ndani nje!
 
Back
Top Bottom