Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Guardiola huwa hana mfumo wa kudhibiti individual players.

Yeye anachokifanya ni kuushikilia mpira wewe uhangaike kuutafuta na usifike kwenye final third yao.

Lakini kwa aina ya uchezaji wa PSG Man City atakuwa na wakati mgumu sana.

Kwanza PSG wanamachaguo mazuri kila angle ya uwanja kuliko Man city

Hivyo PSG kumfunga Man city itakuwa kazi rahisi labda kwa sababu mpira unaambatana na bahati yawezekana bahati ikawaangukia Man City.
Jana PSG wamezidiwa each and everything
 
Habari.

Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba:

Leg 1.
27 April 2021 Tuesday

Paris Saint Germain Vs Manchester City


Real Madrid Vs Chelsea


Leg 2.
04 May 2021 Tuesday

Manchester City Vs Paris Saint-Germain

Chelsea Vs Real Madrid


Hapo bila kupepesa macho mpira anaocheza Paris Saint Germain dhidi ya kocha wao Pochettino umekuwa na nidhamu ya kutafuta matokeo tu hakuna kingine.

Hivyo basiasi ubishe usibishe Paris Saint Germain atakuwa Champion wa ligi ya mabingwa ulaya.

Final itachezwa 29 May 2021 Ataturk Olympics Stadium.

Final itakuwa ni Paris Saint Germain Vs Real Madrid na bingwa atakuwa Paris Saint Germain.


Updates. 29/04/2021

Baada ya first leg matokeo yamekuwa yakishangaza kulingana na uzi wenyewe ila amini nawaambia wengi watashangazwa zaidi baada ya 2nd leg.

1st leg.

Real Madrid 1 - 1 Chelsea
✓Pulisic[emoji460]
✓Benzema[emoji460]

PSG 1 - 2 Manchester city
✓Marquinhos[emoji460]
✓De Bruyne [emoji460]
✓Mahrez [emoji460]

Hakika naendelea kuona PSG bado ana nafasi ya kusonga mbele vizuri kabisa kwa mpira niliyoona jana kwa zaidi ya dakika 50 alipiga mpira mwingi sana na hata Etihad nategemea wataweza kupindua meza vyema.

Real Madrid ana nafasi ngumu japo Chelsea waliweza kupambana na kucheza mpira mwingi ila pale darajani naona watalala na viatu pia naendelea kumpa nafasi Real Madrid kuendelea mbele.


Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
yeah right!
 
1 Ndiyo mara yake ya kwanza kuingia semi final.

2 Kwani round of 16 ni kuvuka robo finali ?

3 hata msimu huu mwisho wa Man city ni hapo mlipofika.

4. Kikosi kina Ander Herera, Gana Gueye Paredes, Marco Verrati, Dimaria, Mbappe na Neymar hiyo Man City inavyokuwa exposed nyuma itaponea wapi ?
nimeona kikosi mzee possession Man city 98 kwa 2
 
Man city kachapwa na Chelsea
Anaenda chezea kwa Mourinho
Akitoka hapo anaenda kubemendwa na mbappe/neymar

Chelsea vs Madrid 50/50 ila naona Madrid atakuwa na chance kubwa kama wachezaji wake muhimi wakipona majeruhi

Final Madrid vs Psg. Kwa beki nzee za Madrid sioni wa kukimbizana na mbape
Mbape toka azaliwe jana kacheza mechi hajapiga shoot
 
Bado nampa nafasi PSG pia amekuwa na record nzuri toka mashindano yaanze akiwa ugenini.
Acha mihemko na kushabikia mashati ,...


Mnashabikia mashati ya kina mbape na neymar ,..


PSG ni timu ya kawaida sana ,na inakuja kupigwa pale etihad kwa Mara nyingine tena ...


Kabla hujacomment fuatilia H2H ..

Man city hana historia ya kufungwa na PSG
 
Back
Top Bottom