Timu bora kwa sasa ulaya ni.
1. Bayern Munich
2. Man City
3. PSG.
Psg Kamwondoa bingwa mtetezi, Munich, japo kwa upepo. Anakuja kukutana na timu bora baada ya Munich. ManCity. Hawa jamaa wapo vizuri sana. Psg hawana ubora wa city. Hii game ni ngumu ila naamini kwa 100% city anavuka hii round.
Madrid vs Chelsea hii game nayo ipo 50/50. Chelsea wamebadilika baada ya kumpata Tuchel, wanacheza mpira mzuri na wa kushambulia. Yeyote hapa anapita.
Fainal itakuwa ni City vs Madrid/chelsea. Na City anaibuka kidedea hapa.
Guandiolla anaenda kunyanyua kwapa baada ya kulikosa kombe kwa muda mrefu sana.