Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
City ya jana haikuwa na link kati ya defenders na strikers, kumuweka Gundogan kiungo peke yake mbele ya Kante na Jorginho ulikuwa ni utani, pale alitakiwa awepo Fernandinho from the start pembeni acheze Gundogan, Chelsea weupe tu Aston Villa & Leicester wamewapiga City ya ukweli msingeiweza.Tuambie City ya jana ubovu wake nini?
City anamaliza game na one short on target! hakuna cha tactics spot on wala nini, mmeuziwa game jana.Kila mtu anajaribu kumshangaa Pep eti alipanga team mbovu. Hasn't it crossed your mind kwamba team selection yake ilikuwa nzuri tu ila Chelsea were just superior? kwamba hamjaona kabumbu alilotandaza Kante, Rudiger na Reece James?
Mnyonge mnyongeni la Tuchel's tactics were spot on jana
"Winning side never change" nilijua atapanga timu iliyomtoa Dortmund na PSG, na Dortmund ndio walikuwa wagumu zaidi yenu, mna bahati sana, mmeifunga City dhaifu no way out.Wakati unasema game itaisha first half hukujua kama huyo Guardiola unayejua historia yake ndiye unayemtegemea aifanye hiyo shughuli?
Wakati unasifia rotation ya kikosi sijui na nini, ulisahau unayemsifia hapo ni huyohuyo Pep?
Wewe tukupe Taifa Stars, naamini tutachukua World Cup.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mtu negative mno na kila siku unachange goal posts. So, sasa story ni kwamba tumeuziwa game? bure kabisa.City anamaliza game na one short on target! hakuna cha tactics spot on wala nini, mmeuziwa game jana.
Kama TT anajua nini kiliwashinda kwa Leicester final ya FA Cup, na Aston Villa mkitafuta nafasi ya nne mpaka mkasaidiwa na Spurz!.
sasa kama denoj anafikia hatua ya kusema pep katupa ubingwa ina maana yeye alikuwa hautaki si ndio.
aiseee kwahiyo man City hawakua na shida kombeCity ya jana haikuwa na link kati ya defenders na strikers, kumuweka Gundogan kiungo peke yake mbele ya Kante na Jorginho ulikuwa ni utani, pale alitakiwa awepo Fernandinho from the start pembeni acheze Gundogan, Chelsea weupe tu Aston Villa & Leicester wamewapiga City ya ukweli msingeiweza.
Guardiola kawauzia game jana.
Kabla ya kuingia Jesus unaweza kuniambia striker alikuwa nani?City ya jana haikuwa na link kati ya defenders na strikers, kumuweka Gundogan kiungo peke yake mbele ya Kante na Jorginho ulikuwa ni utani, pale alitakiwa awepo Fernandinho from the start pembeni acheze Gundogan, Chelsea weupe tu Aston Villa & Leicester wamewapiga City ya ukweli msingeiweza.
Guardiola kawauzia game jana.
City anamaliza game na one short on target! hakuna cha tactics spot on wala nini, mmeuziwa game jana.
Kama TT anajua nini kiliwashinda kwa Leicester final ya FA Cup, na Aston Villa mkitafuta nafasi ya nne mpaka mkasaidiwa na Spurz!.
Hutaki kuambiwa ukweli unaniita negative, unataka nikubali tu unachoandika, siko hivyo.Wewe ni mtu negative mno na kila siku unachange goal posts. So, sasa story ni kwamba tumeuziwa game? bure kabisa.
City walitaka kombe ila Guardiola hakuwa na mpango nalo kabisa.aiseee kwahiyo man City hawakua na shida kombe
Alikuwepo false 9 De Bruyne, haya maswali ya kitoto ulizaneni wenyewe.Kabla ya kuingia Jesus unaweza kuniambia striker alikuwa nani?
Lakini kumbuka jana Man City kapigwa game ya 3 mfululizo na TT. Kwahiyo zote alikuwa anauza. Lazima utakuwa shabiki wa Utopolo maana ndio huwa wanaamini kuuza match.City anamaliza game na one short on target! hakuna cha tactics spot on wala nini, mmeuziwa game jana.
Kama TT anajua nini kiliwashinda kwa Leicester final ya FA Cup, na Aston Villa mkitafuta nafasi ya nne mpaka mkasaidiwa na Spurz!.
Bado umelalaili usicheze match inayofuata lazima uwe na kadi za njano tatu mfululizo ..
Sasa kdb ana kadi mbili tu ...
Ndio maana alipopewa ile kadi hawakuandika "misses next match " kwa iyo final kdb yupo bila wasiwasi
..
Hao Chelsea wanajua moto wake ndio maana wanajipa moyo saizi..!
City ya jana haikuwa na link kati ya defenders na strikers, kumuweka Gundogan kiungo peke yake mbele ya Kante na Jorginho ulikuwa ni utani, pale alitakiwa awepo Fernandinho from the start pembeni acheze Gundogan, Chelsea weupe tu Aston Villa & Leicester wamewapiga City ya ukweli msingeiweza.
Guardiola kawauzia game jana.
Mlipo fungwa na spurs na brightonCity anamaliza game na one short on target! hakuna cha tactics spot on wala nini, mmeuziwa game jana.
Kama TT anajua nini kiliwashinda kwa Leicester final ya FA Cup, na Aston Villa mkitafuta nafasi ya nne mpaka mkasaidiwa na Spurz!.
Amka ulipolalaKaribu mjini. Rotation ya kikosi ndio iliwaua City kwenye ile game, first eleven ya City inamtandika Chelsea vizuri kabisa.
Wewe hata Namungo uliwaamini Confederations!, ila kilichowakuta siri yako.
Amka ulipolala mzee wa bettingHao ndio nime-prove wamezeeka, ngoja the Citizens wakawafundishe mpira.
Kwa sababu unarukaruka kama mahindi ya bisi kikaangoni. Kauli zako kabla na baada ya Pep kupigwa zinashangaza na sasa unadai eti City imeuza game. Huna clue.Hutaki kuambiwa ukweli unaniita negative, unataka nikubali tu unachoandika, siko hivyo.