Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Kila mtu anajaribu kumshangaa Pep eti alipanga team mbovu. Hasn't it crossed your mind kwamba team selection yake ilikuwa nzuri tu ila Chelsea were just superior? kwamba hamjaona kabumbu alilotandaza Kante, Rudiger na Reece James?

Mnyonge mnyongeni ila Tuchel's tactics were spot on jana
 
Tuambie City ya jana ubovu wake nini?
City ya jana haikuwa na link kati ya defenders na strikers, kumuweka Gundogan kiungo peke yake mbele ya Kante na Jorginho ulikuwa ni utani, pale alitakiwa awepo Fernandinho from the start pembeni acheze Gundogan, Chelsea weupe tu Aston Villa & Leicester wamewapiga City ya ukweli msingeiweza.

Guardiola kawauzia game jana.
 
Kila mtu anajaribu kumshangaa Pep eti alipanga team mbovu. Hasn't it crossed your mind kwamba team selection yake ilikuwa nzuri tu ila Chelsea were just superior? kwamba hamjaona kabumbu alilotandaza Kante, Rudiger na Reece James?

Mnyonge mnyongeni la Tuchel's tactics were spot on jana
City anamaliza game na one short on target! hakuna cha tactics spot on wala nini, mmeuziwa game jana.

Kama TT anajua nini kiliwashinda kwa Leicester final ya FA Cup, na Aston Villa mkitafuta nafasi ya nne mpaka mkasaidiwa na Spurz!.
 
Wakati unasema game itaisha first half hukujua kama huyo Guardiola unayejua historia yake ndiye unayemtegemea aifanye hiyo shughuli?

Wakati unasifia rotation ya kikosi sijui na nini, ulisahau unayemsifia hapo ni huyohuyo Pep?

Wewe tukupe Taifa Stars, naamini tutachukua World Cup.

Sent using Jamii Forums mobile app
"Winning side never change" nilijua atapanga timu iliyomtoa Dortmund na PSG, na Dortmund ndio walikuwa wagumu zaidi yenu, mna bahati sana, mmeifunga City dhaifu no way out.

Umeburuzwa na Aston Villa juzi tu, nyie mlikuwa underdog Guardiola akawazawadia kombe.
 
City anamaliza game na one short on target! hakuna cha tactics spot on wala nini, mmeuziwa game jana.

Kama TT anajua nini kiliwashinda kwa Leicester final ya FA Cup, na Aston Villa mkitafuta nafasi ya nne mpaka mkasaidiwa na Spurz!.
Wewe ni mtu negative mno na kila siku unachange goal posts. So, sasa story ni kwamba tumeuziwa game? bure kabisa.
 
City ya jana haikuwa na link kati ya defenders na strikers, kumuweka Gundogan kiungo peke yake mbele ya Kante na Jorginho ulikuwa ni utani, pale alitakiwa awepo Fernandinho from the start pembeni acheze Gundogan, Chelsea weupe tu Aston Villa & Leicester wamewapiga City ya ukweli msingeiweza.

Guardiola kawauzia game jana.
aiseee kwahiyo man City hawakua na shida kombe
 
City ya jana haikuwa na link kati ya defenders na strikers, kumuweka Gundogan kiungo peke yake mbele ya Kante na Jorginho ulikuwa ni utani, pale alitakiwa awepo Fernandinho from the start pembeni acheze Gundogan, Chelsea weupe tu Aston Villa & Leicester wamewapiga City ya ukweli msingeiweza.

Guardiola kawauzia game jana.
Kabla ya kuingia Jesus unaweza kuniambia striker alikuwa nani?
 
Kwahiyo game zote 3 Chelsea alizokutana na city gadiola kauza?

Mbona unajitoa ufahamu mkuu.

Kama vipi tafuteni kocha mingine alafu turudie fainali
City anamaliza game na one short on target! hakuna cha tactics spot on wala nini, mmeuziwa game jana.

Kama TT anajua nini kiliwashinda kwa Leicester final ya FA Cup, na Aston Villa mkitafuta nafasi ya nne mpaka mkasaidiwa na Spurz!.
 
Wewe ni mtu negative mno na kila siku unachange goal posts. So, sasa story ni kwamba tumeuziwa game? bure kabisa.
Hutaki kuambiwa ukweli unaniita negative, unataka nikubali tu unachoandika, siko hivyo.
 
City anamaliza game na one short on target! hakuna cha tactics spot on wala nini, mmeuziwa game jana.

Kama TT anajua nini kiliwashinda kwa Leicester final ya FA Cup, na Aston Villa mkitafuta nafasi ya nne mpaka mkasaidiwa na Spurz!.
Lakini kumbuka jana Man City kapigwa game ya 3 mfululizo na TT. Kwahiyo zote alikuwa anauza. Lazima utakuwa shabiki wa Utopolo maana ndio huwa wanaamini kuuza match.
Halafu ukumbuke kuwa TT na Pep wote walikuwa Germany.
Tatizo la Pep ni mfumo mmoja na ni rahisi sana kupigwa magoli aina ya lile la jana. Game zote alizopigwa na TT kapigwa kwa style ileile.
Binafsi nilijua Pep atakalishwa mapema sana.
 
ili usicheze match inayofuata lazima uwe na kadi za njano tatu mfululizo ..

Sasa kdb ana kadi mbili tu ...

Ndio maana alipopewa ile kadi hawakuandika "misses next match " kwa iyo final kdb yupo bila wasiwasi
..

Hao Chelsea wanajua moto wake ndio maana wanajipa moyo saizi..!
Bado umelala
 
City ya jana haikuwa na link kati ya defenders na strikers, kumuweka Gundogan kiungo peke yake mbele ya Kante na Jorginho ulikuwa ni utani, pale alitakiwa awepo Fernandinho from the start pembeni acheze Gundogan, Chelsea weupe tu Aston Villa & Leicester wamewapiga City ya ukweli msingeiweza.

Guardiola kawauzia game jana.

No wazi kabisa huna unachokijua kuhusu mpira,kwamba Pep kawauzia Chelsea game ambayo ingecement legacy yake kama the best coach ever pale City?...hivi unajua kwa kiasi gani Pep analitaka like kombe ili kuwanyamazisha critics wake?...acha ubishi usio na tija,City jana walikuwa outsmarted na Chelsea!!
 
City anamaliza game na one short on target! hakuna cha tactics spot on wala nini, mmeuziwa game jana.

Kama TT anajua nini kiliwashinda kwa Leicester final ya FA Cup, na Aston Villa mkitafuta nafasi ya nne mpaka mkasaidiwa na Spurz!.
Mlipo fungwa na spurs na brighton
 
Hutaki kuambiwa ukweli unaniita negative, unataka nikubali tu unachoandika, siko hivyo.
Kwa sababu unarukaruka kama mahindi ya bisi kikaangoni. Kauli zako kabla na baada ya Pep kupigwa zinashangaza na sasa unadai eti City imeuza game. Huna clue.
 
Back
Top Bottom