Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Inawezekana upo sahihi hasa kwa kufuata trend ya viongozi waliopita.Si Waswahili husema maji hufuata mkondo?!!!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shein je hakuwahi kuwa Makamu WA Rais wa TZ?.Mama Samia hatagombea uraisi Zanzibar, (i) Kwa sababu cheo alichonacho sasa ni kikubwa kuliko uraisi wa Zanzibar; & (ii) Watanzania wa Zanzibar kama ilivyo bara hatuko tayari kuongozwa na mwanamke katika madaraka ya uraisi.
Asante P!Kiukweli hiyo ni ndoto mzuri na very logical
Ratiba ya uchukuaji fomu za urais wa Zanzibar kwa CCM Zanzibar yatoka,
View attachment 1461992
Huku baadhi ya majina na ellectability percentage zao zikitajwa na Binti mmoja wa Kizanzibari.
USIWE WA MWISHO KUWAJUA WATARAJIWA WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR
1. Dk. Hussein Mwinyi 75%
2.Haji Omar Kheir 60%
3.Mohamed Aboud 58%
4.Mahamoud Thabit Kombo 53%
5.Dk Khalid Salum 51%
6.Shamis Vuai 50%
7.Dk. Mohamed Dimwa 49%
8.Prof. Makame Mbarawa 48%
9.Mgeni Hassan Juma 47%
10. Balozi Mahadhi 78%
11.Canal Nassor NASA 45%
12.Eng. Yusuf Masauni 43%
13.Issa Haji Gavu 42%
14.Khamis Mussa 41%
15.Balozi Ramia 48%
16. Balozi Mohamed Hamza 40%
17. Salam Aboud Talib 21%
18. Balozi Amina Salum Ally 20%
NB
Tano Bora na Tatu Bora mutajua nyinyi wasomaji by Binti wa Kizanzibari.
My Take
Safari hii, Mhe. Samia Suluhu Hassan hajatajwa kabisa kuwania urais wa Zanzibar kwasababu nafasi aliyonayo sasa ya VP kwa ki hierarchy ya JMT, ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar, hivyo hakuhesabiwa!. Sijui kigezo kilicho tumika kwasababu rais wa sasa wa Zanzibar, Dr. Ali Mohammed Shein alikuwa VP kwa miaka 10 ndipo akaenda urais wa Zanzibar.
Na kwa vile ni muda mrefu Tanzania hatujapata rais wa JMT kutoka Zanzibar, na ile kanuni ya siri ya kupokezana urais wa JMT kwa Mkristo na Muislamu, kuwa akitoka rais Mkristo lazima afuatiwe na Muislamu, na rais Magufuli ni Mkristo, hivyo anayemfuatia ni Muislamu, then Dr. Hussein Mwinyi ana chances kubwa kuvaa viatu vya baba yake Ali Hassan Mwinyi kwa kuwa rais wa Zanzibar 2020-2025, kisha kuja kumpokea Magufuli huku bara 2025
Dr. Hussein Mwinyi ndio fursa nyingine kwa Mzanzibari kuja kuwa rais wa JMT baada ya rais Mwinyi.
Prof. Mbarawa pia Presidential material na niliwahi kum Profile humu,
Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe? - JamiiForums
P
Pazia la kuichukua fomu za kugombea uraisi Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi huenda likafunguliwa Rasmi muda wowote kuanzia mwezi Juni 2020.
Sina hakika na ndoto yangu, Ila haya ndio niliyoyaona ndotoni.
Nawaona wanaume wawili wachuana vikali Sana, kiasi kwamba wanarandama kwa sifa na haiba inayorandana Kila pahala. Wasomi Hawa wawili wa kiwango Cha juu wanazidiana sifa moja tu.
Mmoja ameishi na kukulia Zanzibar na mwingine ameishi na kukulia Dar es Salaam.
Wanaume hao Ni Profesa Makame Mbarawa Mnyaa na Dr. Hussein MWINYI. Naona ukungu mzito watu wengi wanabishana hapana huyu hajakulia na kuishi huku iweje tumkabidhi jukumu zito hivi wakati Ana Kila nasaba na watu wa bars. Safari hii hatukubali lazima tufanye tutakavyo sisi na sio wao.
Naiona busara kubwa ikitumika kumaliza mgogoro huu kwa turufu ya jinsia. Unazuka mjadala Kama ndio hivyo basi wakose wote na akae mwanamke ili kuondoa dhana ya upendeleo na Visa vya Nani Ni Nani.
Namuona mwanamke mwenye sauti ya mamlaka na akitokea kwenye kiti chenye maamuzi mazito akikubali kubeba gharama za kuinusuru chama na mpasuko. Namfananisha na Samia SULUHU Hassan. Nyota yake Ni Kali sana na ndiye anayewatuliza wanaume Hawa wawili kwa kuvaa kiatu Cha kuwa mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM huko visiwani Zanzibar.
Ndoto yangu haiishii hapa, Namuona Mwenyekiti na kamati yake wanajifungia kwa muda na Hawa wanaume wawili Kisha wanakubaliana kitu.
Siku chache baadaye nawaona wanaume Hawa wanaongozana Hadi dodoma.
Namuona Mwenyekiti wa wa CCM anapitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu kuwa ndiye mgombea uraisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Nawaona wajumbe wa CCM wanaenda chemba kunong'onezana na Kisha Mwenyekiti wa muda anamtangaza Dr. Hussein MWINYI kubeba bendera ya Chama Kama Mgombea mwenza wa Magufuli.
Ndoto inaendelea nawaona wajumbe wakimtaja Profesa Kama Makamu Rais wa Zanzibar.
Nawaona wakitoka na Nyusso za furaha Kila mmoja.
Usingizi unakatika nashtuka najiuliza Ni kweli au Ni mawaa ya ndoto.
Ngoja tusubiri media confirmation, Mimi nishamaliza ndoto yangu.
Ngoja tusubiri.Pazia la kuichukua fomu za kugombea uraisi Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi huenda likafunguliwa Rasmi muda wowote kuanzia mwezi Juni 2020.

Katika list yako namba 16 ndie atakaechaguliwa na CCM kugombea kiti Cha uraisi wa Zanzibar..Kiukweli hiyo ni ndoto mzuri na very logical
Ratiba ya uchukuaji fomu za urais wa Zanzibar kwa CCM Zanzibar yatoka,
View attachment 1461992
Huku baadhi ya majina na ellectability percentage zao zikitajwa na Binti mmoja wa Kizanzibari.
USIWE WA MWISHO KUWAJUA WATARAJIWA WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR
1. Dk. Hussein Mwinyi 75%
2.Haji Omar Kheir 60%
3.Mohamed Aboud 58%
4.Mahamoud Thabit Kombo 53%
5.Dk Khalid Salum 51%
6.Shamis Vuai 50%
7.Dk. Mohamed Dimwa 49%
8.Prof. Makame Mbarawa 48%
9.Mgeni Hassan Juma 47%
10. Balozi Mahadhi 78%
11.Canal Nassor NASA 45%
12.Eng. Yusuf Masauni 43%
13.Issa Haji Gavu 42%
14.Khamis Mussa 41%
15.Balozi Ramia 48%
16. Balozi Mohamed Hamza 40%
17. Salam Aboud Talib 21%
18. Balozi Amina Salum Ally 20%
NB
Tano Bora na Tatu Bora mutajua nyinyi wasomaji by Binti wa Kizanzibari.
My Take
Safari hii, Mhe. Samia Suluhu Hassan hajatajwa kabisa kuwania urais wa Zanzibar kwasababu nafasi aliyonayo sasa ya VP kwa ki hierarchy ya JMT, ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar, hivyo hakuhesabiwa!. Sijui kigezo kilicho tumika kwasababu rais wa sasa wa Zanzibar, Dr. Ali Mohammed Shein alikuwa VP kwa miaka 10 ndipo akaenda urais wa Zanzibar.
Na kwa vile ni muda mrefu Tanzania hatujapata rais wa JMT kutoka Zanzibar, na ile kanuni ya siri ya kupokezana urais wa JMT kwa Mkristo na Muislamu, kuwa akitoka rais Mkristo lazima afuatiwe na Muislamu, na rais Magufuli ni Mkristo, hivyo anayemfuatia ni Muislamu, then Dr. Hussein Mwinyi ana chances kubwa kuvaa viatu vya baba yake Ali Hassan Mwinyi kwa kuwa rais wa Zanzibar 2020-2025, kisha kuja kumpokea Magufuli huku bara 2025
Dr. Hussein Mwinyi ndio fursa nyingine kwa Mzanzibari kuja kuwa rais wa JMT baada ya rais Mwinyi.
Prof. Mbarawa pia Presidential material na niliwahi kum Profile humu,
Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe? - JamiiForums
P
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaaani wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyinyi wanasheria muna tatizo gami na hesabu? Hizo % zako naona zimefika 500%. What happened to 100% total?
Japo ni kweli ki protokali VP ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar, ila kimamlaka, VP ni just a ceremonial position as a standby, in case something happens to the president, lakini hana mamlaka yoyote, hana powers zozote za kufanya chochote na hata akikaumu urais hawezi kusaini chochote, zaidi ya kutembea na mikasi na kumwakilisha rais kwenye events, lakini rais wa Zanzibar ni rais kweli wa nchi ndani ya nchi, ana dola, ana nguvu na ana mamlaka, hivyo kiutendaji Rais wa Zanzibar ana madaraka na mamlaka kuliko VP.Mama Samia alishaweka wazi hana mpango na urais wa Zanzibar kwa sababu ni cheo kidogo ukilinganisha na cheo alichonacho.
sio itakuwa, ishakuwa tayari, huyu aliepo saivi unaweza kaa miezi usimsikie kabisa na ukafikiri Balozi Seif au RC Ayoub ndo anaongoza nchiZanzibar itakuwa nchi ya kwanza duniani rais anachaguliwa kwa kigezo cha ukimya na upole.
Huyu jamaa ni kwasababu ya baba yake alwahi shika kiti hivyo ni nyota tu inang'aa kupitia baba yake? Anakitu gani cha kipekee mpaka apewe nchi?Hussein mwinyi ndo atakuwa mgombea, mengine Ni mbwembwe