Kiukweli hiyo ni ndoto mzuri na very logical
Ratiba ya uchukuaji fomu za urais wa Zanzibar kwa CCM Zanzibar yatoka,
View attachment 1461992
Huku baadhi ya majina na ellectability percentage zao zikitajwa na Binti mmoja wa Kizanzibari.
USIWE WA MWISHO KUWAJUA WATARAJIWA WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR
1. Dk. Hussein Mwinyi 75%
2.Haji Omar Kheir 60%
3.Mohamed Aboud 58%
4.Mahamoud Thabit Kombo 53%
5.Dk Khalid Salum 51%
6.Shamis Vuai 50%
7.Dk. Mohamed Dimwa 49%
8.Prof. Makame Mbarawa 48%
9.Mgeni Hassan Juma 47%
10. Balozi Mahadhi 78%
11.Canal Nassor NASA 45%
12.Eng. Yusuf Masauni 43%
13.Issa Haji Gavu 42%
14.Khamis Mussa 41%
15.Balozi Ramia 48%
16. Balozi Mohamed Hamza 40%
17. Salam Aboud Talib 21%
18. Balozi Amina Salum Ally 20%
NB
Tano Bora na Tatu Bora mutajua nyinyi wasomaji by Binti wa Kizanzibari.
My Take
Safari hii, Mhe. Samia Suluhu Hassan hajatajwa kabisa kuwania urais wa Zanzibar kwasababu nafasi aliyonayo sasa ya VP kwa ki hierarchy ya JMT, ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar, hivyo hakuhesabiwa!. Sijui kigezo kilicho tumika kwasababu rais wa sasa wa Zanzibar, Dr. Ali Mohammed Shein alikuwa VP kwa miaka 10 ndipo akaenda urais wa Zanzibar.
Na kwa vile ni muda mrefu Tanzania hatujapata rais wa JMT kutoka Zanzibar, na ile kanuni ya siri ya kupokezana urais wa JMT kwa Mkristo na Muislamu, kuwa akitoka rais Mkristo lazima afuatiwe na Muislamu, na rais Magufuli ni Mkristo, hivyo anayemfuatia ni Muislamu, then Dr. Hussein Mwinyi ana chances kubwa kuvaa viatu vya baba yake Ali Hassan Mwinyi kwa kuwa rais wa Zanzibar 2020-2025, kisha kuja kumpokea Magufuli huku bara 2025
Dr. Hussein Mwinyi ndio fursa nyingine kwa Mzanzibari kuja kuwa rais wa JMT baada ya rais Mwinyi.
Prof. Mbarawa pia Presidential material na niliwahi kum Profile humu,
Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe? - JamiiForums
P