Zanzibar 2020 Utabiri: Samia Suluhu kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

Wonders never end mara paaaaap mama anaamua kuponya vidonda vya ccm na Tanzania anachukua fomu hata hata Muunganoni
 

Una maana kuongozwa na mwanamke u don't feel uanaume? Yaani unaonesha hata mama yako unamdharau. Hakika mkeo, kama umeoa, na binti zako, kama unao, kwako ni takataka.

Nani kama mama!

DUH, ukistaajabu ya Musa utaona ...
 


WOTE HAO ;

KUNA LOLOTE LA MAANA WALILOIFANYIA ZANZIBAR ?? JAWABU NI 000000000%


WAACHE WAJE WAMTUMIKIE MKOLONI WA TANGANYIKA KUWATESA WAZANZIBARI NA KUIFISIDI NCHI KAMA WALIOTANGULIA
 
WAACHE WAJE WAMTUMIKIE MKOLONI WA TANGANYIKA KUWATESA WAZANZIBARI NA KUIFISIDI NCHI KAMA WALIOTANGULIA
Mkuu kuwa na shukrani ni jambo jema sana. Muungano ni sacrifices, sasa mtu ana ji sacrifice hadi kulifuta jina lake la Tanganyika, kwa ajili ya muungano, huku Zanzibar ikiachwa na jina lake, utaifa wake,umeme bure, ajira za JMT bwelele, wanasomea elimu ya juu JMT bila kuchangia senti tano, asilimia 4.5% ya fedha za misaada ni zao, fedha zote ni za JMT, Mabalozi, Jeshi, Polisi, Uhamiaji, Mawasiliano, Bahari kuu Anga, ulinzi na usalama, vyote ni bure!. Kumuita mkoloni ni shukrani ya punda!.

P
 


Msikilize huyu aliyekuwa Katibu Mkuu wa kwanza wa baraza la Mapinduzi anaongea kitu gani


 
Unaweza kuthibitisha madai yako?
Mbona iko wazi hiyo Kaka,kama ulifatilia Bunge la wakati wa Kikwete mbona Wazanzibari walileta hiyo hoja..

Inaonyesha Kuna mengi huyajui,Mkuu
 
Hahaha,kaka mbona hilo nimeshawekwa wazi,katika vikao vya Bunge...

Zanzibar ilikuwa Empire,wakati Tanganyika inapaata Uhuru,Karume alikuwa anajigamba Mzanzibari yoyote aliezaliwa kwa wakati ule alikuwa anaweza kupata dollar 5000 za Kimarekani.,

Aliendelea kusema Zanzibar sio masikini haidai na nchi yoyote,Kwa vile Waafrika hatuna uwezo wa kujitawala,pesa zote zimepotea,hivi sasa Zanzibar ni moja ya nchi fukara Duniani

Kuna mengi huyajui,lakini usijali ukweli haufichiki iko siku utasikia tu..
 
Bila shaka kuna mengi siyajui; ila kwenye bunge la katiba 2014 jinsi hati ya muungano ilivyokuwa kete kubwa ya wao kujimwambafai, wangekuwa chanzo cha uundaji wa BoT tungejua tu. Ila wakati ni mwalimu mzuri, huenda ndiyo mwanzo wa kuja na karata hii.
Na kama hakuna uthibitisho ku authenticate hii story, basi nayo itapuuzwa tu.
 
Indonesia ina Wasialamu wengu Dunian kuliko nchi yoyote na isha ongozwa na mwanamke
 
Hivi makamu wa Rais wa Tanzania na Rais wa mkoa wa Zanzibar, nani yupo juu ya mwenzake?
 
Mbona mpaka leo Tanganyika wamegoma Kufungua ile A/c ya pamoja iliyoelezwa kwenye katiba ya Jamuhuri?
Si kwa kuwa hawataki yajulikane mapato ya Muungano,

Sijui tushukuru nini wakati tunadhulumiwa haki yeti kwa muda wa zaidi ya miaka 50.
Ndo maana Kiuchumi munanufaika nyi nyi tuu huku zenji umasikini unazidi kutuelemea.
Kisha Munatuwekea vikwazo hata kujenga Bandari yetu kuwa Kubwa ,Munatuonea uchoyo 'eti tutaiua Bandari ya Dar'
Tuwashukuru kwa lipi?

Wekeni mambo Ubaoni kuhusu Muungano na kura ya maoni, muone wazanzibari maamuzi yao Magumu watakavyo amua, Hilo nalo Munaliogopa.
Mumesahau kuwa Nyerer alisema Hivi"
''Hizi nchi mbi ziko sawa kisovereghn ila zina tofauti ya population tuu hakuna mkubwa walamdogo katika muungano kama nchi Zanzibar na Tanganyika ni sawa''

Wezi wa fadhila wantufikicha kisha wanataka tuwashukuru.
Bahari kuu ni ya kwetu ,lakini kuna makampuni zaidi ya 200 ya uvuvi yamesajiliwa Bara na sisi hatupati hata ndururu. kama si wizi wa mchana huo ni nini?
We Acha tuu .
 
Unaona mbali kwa darubini butu
 
Mama Samia hatagombea uraisi Zanzibar, (i) Kwa sababu cheo alichonacho sasa ni kikubwa kuliko uraisi wa Zanzibar; & (ii) Watanzania wa Zanzibar kama ilivyo bara hatuko tayari kuongozwa na mwanamke katika madaraka ya uraisi.
Ilikuwaje shein akagombee urais wa mkoa wa Zanzibar wakati kabla ya hapo alikuwa makamu wa Rais wa Tanzania bara ?
 
Kama swala ni Dini Indonesia yenye Idadi kubwa ya Muslim Duniani isingeongozwa na mwanamke
Zanzibar ni dola la kiislamu, sio rahisi kwa mwanamke kupewa nafasi ya juu.

Lakini namtakia kila jema huyu mama, ni kiongozi mwema. Jiwe kama anaweza amuachie tu naye apige muhula mmoja uliobakia.
 

BABU DUNI KAMALIZA KILA KITU HAPA

 
N
Naomba ushauri, kisiasa makamu wa raisi TZ na raisi wa Zanzibar nani zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…