Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafahamu.
Lakini kwa kukusahihisha huwa haizitungwi kuwakilisha mambo yatakayotokea hilo halipo! Ni predictions tu hufanyika sometimes zinaweza kuwa sahihi au wrong!
Ulitaka niwe na mtizamo neutral au wakike?
Mwanaume hawezi kutazama tamthilia yakike kama hiyo kwanza inakufunza nini kama sio kukufanya uwe mlenda tu.
Upuuzi na nusu.
Kuna tamthilia za kiume ni nyingi tu, asilimia kubwa ya wacheza hizo tamthilia wanashiriki mapenzi ya jinsia moja au ni milenda milenda tu.
.
Ukitazama vitu kama Outlanders hivi n.k u feel uanaume sio unatazama tamthilia za kike kike hizo ndiomaana hadi mnasimuliana maofisini zee zima linakaa kuangalia eti Razia ungekuwa mwanangu ushatafuta kwako mapema sana.
Can't expect anything intelligent from you.
Nafahamu.
Can't expect anything intelligent from you.
Kiukweli hiyo ni ndoto mzuri na very logical
Ratiba ya uchukuaji fomu za urais wa Zanzibar kwa CCM Zanzibar yatoka,
View attachment 1461992
Huku baadhi ya majina na ellectability percentage zao zikitajwa na Binti mmoja wa Kizanzibari.
USIWE WA MWISHO KUWAJUA WATARAJIWA WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR
1. Dk. Hussein Mwinyi 75%
2.Haji Omar Kheir 60%
3.Mohamed Aboud 58%
4.Mahamoud Thabit Kombo 53%
5.Dk Khalid Salum 51%
6.Shamis Vuai 50%
7.Dk. Mohamed Dimwa 49%
8.Prof. Makame Mbarawa 48%
9.Mgeni Hassan Juma 47%
10. Balozi Mahadhi 78%
11.Canal Nassor NASA 45%
12.Eng. Yusuf Masauni 43%
13.Issa Haji Gavu 42%
14.Khamis Mussa 41%
15.Balozi Ramia 48%
16. Balozi Mohamed Hamza 40%
17. Salam Aboud Talib 21%
18. Balozi Amina Salum Ally 20%
NB
Tano Bora na Tatu Bora mutajua nyinyi wasomaji by Binti wa Kizanzibari.
My Take
Safari hii, Mhe. Samia Suluhu Hassan hajatajwa kabisa kuwania urais wa Zanzibar kwasababu nafasi aliyonayo sasa ya VP kwa ki hierarchy ya JMT, ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar, hivyo hakuhesabiwa!. Sijui kigezo kilicho tumika kwasababu rais wa sasa wa Zanzibar, Dr. Ali Mohammed Shein alikuwa VP kwa miaka 10 ndipo akaenda urais wa Zanzibar.
Na kwa vile ni muda mrefu Tanzania hatujapata rais wa JMT kutoka Zanzibar, na ile kanuni ya siri ya kupokezana urais wa JMT kwa Mkristo na Muislamu, kuwa akitoka rais Mkristo lazima afuatiwe na Muislamu, na rais Magufuli ni Mkristo, hivyo anayemfuatia ni Muislamu, then Dr. Hussein Mwinyi ana chances kubwa kuvaa viatu vya baba yake Ali Hassan Mwinyi kwa kuwa rais wa Zanzibar 2020-2025, kisha kuja kumpokea Magufuli huku bara 2025
Dr. Hussein Mwinyi ndio fursa nyingine kwa Mzanzibari kuja kuwa rais wa JMT baada ya rais Mwinyi.
Prof. Mbarawa pia Presidential material na niliwahi kum Profile humu,
Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe? - JamiiForums
P
Mkuu kuwa na shukrani ni jambo jema sana. Muungano ni sacrifices, sasa mtu ana ji sacrifice hadi kulifuta jina lake la Tanganyika, kwa ajili ya muungano, huku Zanzibar ikiachwa na jina lake, utaifa wake,umeme bure, ajira za JMT bwelele, wanasomea elimu ya juu JMT bila kuchangia senti tano, asilimia 4.5% ya fedha za misaada ni zao, fedha zote ni za JMT, Mabalozi, Jeshi, Polisi, Uhamiaji, Mawasiliano, Bahari kuu Anga, ulinzi na usalama, vyote ni bure!. Kumuita mkoloni ni shukrani ya punda!.WAACHE WAJE WAMTUMIKIE MKOLONI WA TANGANYIKA KUWATESA WAZANZIBARI NA KUIFISIDI NCHI KAMA WALIOTANGULIA
Mkuu kuwa na shukrani ni jambo jema sana. Muungano ni sacrifices, sasa mtu ana ji sacrifice hadi kulifuta jina lake la Tanganyika, kwa ajili ya muungano, huku Zanzibar ikiachwa na jina lake, utaifa wake,umeme bure, ajira za JMT bwelele, wanasomea elimu ya juu JMT bila kuchangia senti tano, asilimia 4.5% ya fedha za misaada ni zao, fedha zote ni za JMT, Mabalozi, Jeshi, Polisi, Uhamiaji, Mawasiliano, Bahari kuu Anga, ulinzi na usalama, vyote ni bure!. Kumuita mkoloni ni shukrani ya punda!.
P
Mbona iko wazi hiyo Kaka,kama ulifatilia Bunge la wakati wa Kikwete mbona Wazanzibari walileta hiyo hoja..Unaweza kuthibitisha madai yako?
Hahaha,kaka mbona hilo nimeshawekwa wazi,katika vikao vya Bunge...Kama kweli BoT imeundwa kwa pesa toka visiwa vya karafuu, hili lingekuwa lishasikika siku nyingi kama sehemu ya kero za muungano.
Kwa jinsi Wazanzibar wanajivunia kwa Wazanzibar kuliko sisi tunavyojivunia kwa Watanganyika na kujiona simply Watanzania bara, wangekuwa wametoa shekels kuanzisha central bank wangekuwa wanachonga sana.
Bila shaka kuna mengi siyajui; ila kwenye bunge la katiba 2014 jinsi hati ya muungano ilivyokuwa kete kubwa ya wao kujimwambafai, wangekuwa chanzo cha uundaji wa BoT tungejua tu. Ila wakati ni mwalimu mzuri, huenda ndiyo mwanzo wa kuja na karata hii.Hahaha,kaka mbona hilo nimeshawekwa wazi,katika vikao vya Bunge...
Zanzibar ilikuwa Empire,wakati Tanganyika inapaata Uhuru,Karume alikuwa anajigamba Mzanzibari yoyote aliezaliwa kwa wakati ule alikuwa anaweza kupata dollar 5000 za Kimarekani.,
Aliendelea kusema Zanzibar sio masikini haidai na nchi yoyote,Kwa vile Waafrika hatuna uwezo wa kujitawala,pesa zote zimepotea,hivi sasa Zanzibar ni moja ya nchi fukara Duniani
Kuna mengi huyajui,lakini usijali ukweli haufichiki iko siku utasikia tu..
Tatizo la tamaduni za kiislam ni kutokubali kirahisi kuongozwa na mwanamke. Kwa kutumia busara nje ya utamaduni inawezekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa siasa na "mfumo wa kijamii" wa Zanzibar kamwe Mwanamke hawezi kuhimili vishindo katika nafasi ya urais, ni lazima Rais awe kidume.
Ndoto yako imekosa kuzingatia jambo muhimu la " mfumo wa kijamii wa wazanzibar" ambao hata hao wanawake wanauheshimu.
Mbona mpaka leo Tanganyika wamegoma Kufungua ile A/c ya pamoja iliyoelezwa kwenye katiba ya Jamuhuri?Mkuu kuwa na shukrani ni jambo jema sana. Muungano ni sacrifices, sasa mtu ana ji sacrifice hadi kulifuta jina lake la Tanganyika, kwa ajili ya muungano, huku Zanzibar ikiachwa na jina lake, utaifa wake,umeme bure, ajira za JMT bwelele, wanasomea elimu ya juu JMT bila kuchangia senti tano, asilimia 4.5% ya fedha za misaada ni zao, fedha zote ni za JMT, Mabalozi, Jeshi, Polisi, Uhamiaji, Mawasiliano, Bahari kuu Anga, ulinzi na usalama, vyote ni bure!. Kumuita mkoloni ni shukrani ya punda!.
P
Unaona mbali kwa darubini butuKiukweli hiyo ni ndoto mzuri na very logical
Ratiba ya uchukuaji fomu za urais wa Zanzibar kwa CCM Zanzibar yatoka,
View attachment 1461992
Huku baadhi ya majina na ellectability percentage zao zikitajwa na Binti mmoja wa Kizanzibari.
USIWE WA MWISHO KUWAJUA WATARAJIWA WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR
1. Dk. Hussein Mwinyi 75%
2.Haji Omar Kheir 60%
3.Mohamed Aboud 58%
4.Mahamoud Thabit Kombo 53%
5.Dk Khalid Salum 51%
6.Shamis Vuai 50%
7.Dk. Mohamed Dimwa 49%
8.Prof. Makame Mbarawa 48%
9.Mgeni Hassan Juma 47%
10. Balozi Mahadhi 78%
11.Canal Nassor NASA 45%
12.Eng. Yusuf Masauni 43%
13.Issa Haji Gavu 42%
14.Khamis Mussa 41%
15.Balozi Ramia 48%
16. Balozi Mohamed Hamza 40%
17. Salam Aboud Talib 21%
18. Balozi Amina Salum Ally 20%
NB
Tano Bora na Tatu Bora mutajua nyinyi wasomaji by Binti wa Kizanzibari.
My Take
Safari hii, Mhe. Samia Suluhu Hassan hajatajwa kabisa kuwania urais wa Zanzibar kwasababu nafasi aliyonayo sasa ya VP kwa ki hierarchy ya JMT, ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar, hivyo hakuhesabiwa!. Sijui kigezo kilicho tumika kwasababu rais wa sasa wa Zanzibar, Dr. Ali Mohammed Shein alikuwa VP kwa miaka 10 ndipo akaenda urais wa Zanzibar.
Na kwa vile ni muda mrefu Tanzania hatujapata rais wa JMT kutoka Zanzibar, na ile kanuni ya siri ya kupokezana urais wa JMT kwa Mkristo na Muislamu, kuwa akitoka rais Mkristo lazima afuatiwe na Muislamu, na rais Magufuli ni Mkristo, hivyo anayemfuatia ni Muislamu, then Dr. Hussein Mwinyi ana chances kubwa kuvaa viatu vya baba yake Ali Hassan Mwinyi kwa kuwa rais wa Zanzibar 2020-2025, kisha kuja kumpokea Magufuli huku bara 2025
Dr. Hussein Mwinyi ndio fursa nyingine kwa Mzanzibari kuja kuwa rais wa JMT baada ya rais Mwinyi.
Prof. Mbarawa pia Presidential material na niliwahi kum Profile humu,
Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe? - JamiiForums
P
Ilikuwaje shein akagombee urais wa mkoa wa Zanzibar wakati kabla ya hapo alikuwa makamu wa Rais wa Tanzania bara ?Mama Samia hatagombea uraisi Zanzibar, (i) Kwa sababu cheo alichonacho sasa ni kikubwa kuliko uraisi wa Zanzibar; & (ii) Watanzania wa Zanzibar kama ilivyo bara hatuko tayari kuongozwa na mwanamke katika madaraka ya uraisi.
Zanzibar ni dola la kiislamu, sio rahisi kwa mwanamke kupewa nafasi ya juu.
Lakini namtakia kila jema huyu mama, ni kiongozi mwema. Jiwe kama anaweza amuachie tu naye apige muhula mmoja uliobakia.
Mkuu kuwa na shukrani ni jambo jema sana. Muungano ni sacrifices, sasa mtu ana ji sacrifice hadi kulifuta jina lake la Tanganyika, kwa ajili ya muungano, huku Zanzibar ikiachwa na jina lake, utaifa wake,umeme bure, ajira za JMT bwelele, wanasomea elimu ya juu JMT bila kuchangia senti tano, asilimia 4.5% ya fedha za misaada ni zao, fedha zote ni za JMT, Mabalozi, Jeshi, Polisi, Uhamiaji, Mawasiliano, Bahari kuu Anga, ulinzi na usalama, vyote ni bure!. Kumuita mkoloni ni shukrani ya punda!.
P
Naomba ushauri, kisiasa makamu wa raisi TZ na raisi wa Zanzibar nani zaidi?Pazia la kuichukua fomu za kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi huenda likafunguliwa Rasmi muda wowote kuanzia mwezi Juni 2020.
Sina hakika na ndoto yangu, Ila haya ndio niliyoyaona ndotoni.
Nawaona wanaume wawili wakichuana vikali sana, kiasi kwamba wanarandama kwa sifa na haiba inayorandana Kila pahala. Wasomi Hawa wawili wa kiwango cha juu wanazidiana sifa moja tu.
Mmoja ameishi na kukulia Zanzibar na mwingine ameishi na kukulia Dar es Salaam.
Wanaume hao Ni Profesa Makame Mbarawa Mnyaa na Dkt. Hussein Mwinyi.
Naona ukungu mzito watu wengi wanabishana hapana huyu hajakulia na kuishi huku iweje tumkabidhi jukumu zito hivi wakati ana kila nasaba na watu wa bara. Safari hii hatukubali lazima tufanye tutakavyo sisi na sio wao.
Naiona busara kubwa ikitumika kumaliza mgogoro huu kwa turufu ya jinsia. Unazuka mjadala kama ndio hivyo basi wakose wote na akae mwanamke ili kuondoa dhana ya upendeleo na visa vya nani ni nani.
Namuona mwanamke mwenye sauti ya mamlaka na akitokea kwenye kiti chenye maamuzi mazito akikubali kubeba gharama za kuinusuru chama na mpasuko. Namfananisha na Samia Suluhu Hassan. Nyota yake Ni Kali sana na ndiye anayewatuliza wanaume hawa wawili kwa kuvaa kiatu cha kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM huko visiwani Zanzibar.
Ndoto yangu haiishii hapa, namuona Mwenyekiti na kamati yake wanajifungia kwa muda na hawa wanaume wawili Kisha wanakubaliana kitu.
Siku chache baadaye nawaona wanaume hawa wanaongozana hadi Dodoma.
Namuona Mwenyekiti wa wa CCM anapitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu kuwa ndiye mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Nawaona wajumbe wa CCM wanaenda chemba kunong'onezana na kisha Mwenyekiti wa muda anamtangaza Dr. Hussein Mwinyi kubeba bendera ya Chama kama Mgombea mwenza wa Magufuli.
Ndoto inaendelea nawaona wajumbe wakimtaja Profesa kama Makamu Rais wa Zanzibar.
Nawaona wakitoka na nyuso za furaha Kila mmoja.
Usingizi unakatika nashtuka najiuliza ni kweli au ni mawaa ya ndoto.
Ngoja tusubiri media confirmation, mimi nishamaliza ndoto yangu.