Zanzibar 2020 Utabiri: Samia Suluhu kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

Yaani waifanye hii nchi Kaka ya kwao atoke mwinyi aje mwinyi acheni huo upumbavu ss watanganyika wenye mlengo ule tutapigwa na butwaa
 
Mbona iko wazi hiyo Kaka,kama ulifatilia Bunge la wakati wa Kikwete mbona Wazanzibari walileta hiyo hoja..

Inaonyesha Kuna mengi huyajui,Mkuu
Sir am not good in politics.
Embu nipe link kama unayo ya hiyo taarifa
 
Mbona mpaka leo Tanganyika wamegoma Kufungua ile A/c ya pamoja iliyoelezwa kwenye katiba ya Jamuhuri?
Si kwa kuwa hawataki yajulikane mapato ya Muungano.
Suala la account ya pamoja, kweli bado ni changamoto, kwasababu serikali ya JMT ndio serikali ya muungano kwa mambo yote ya muungano, at the same time, serikali hii hii ya JMT ndio serikali ya Tanganyika kwa mambo yasiyo ya muungano hivyo kwa wizara zote za muungano zina a single budget kwa muungano na Tanzania bara, mfano wizara ya elimu kwa elimu ya msingi sio ya muungano ni Tanzania bara, na wizara hiyo hiyo kwa elimu ya juu ni ya muungano, kwenye budgeting inaandaliwa budget moja.

The same applies kwa mapato, TRA inakusanya mapato yote ya shughuli za muungano na shughuli za Tanzania bara.

Ili ifunguliwe account ya pamoja, ni lazima mapato yote ya muungano yatenganishwe na mapato ya Tanzania bara, halafu hayo mapato ya muungano ndio yafunguliwe account ya pamoja ambayo Zanzibar pia nitachangia. Baada ya kuyajua mapato ya muungano, inatakiwa iandaliwe budget ya kuendesha muungano, mapato ya muungano yasipotosha kugharimia kuendesha muungano, then serikali ya Tanganyika na serikali ya Zanzibar zinachangia kwa uwiano wa asilimia 4.5% Zanzibar na asilimia 95.5% Tanzania bara.

Ili hili liwezekane kwanza lazima tuwe na serikali 3, serikali ya Tanzania Bara, serikali ya Muungano na serikali ya Zanzibar. Mapato yote ya muungano yatatenganishwa na kuweka account ya pamoja ambayo ndio sasa itagharimia muungano.
Jaji Warioba ni muongo?!- BLW halikupendekeza serikali tatu!-Mhe.Pandu Ameir Kificho!.

Solution ya kudumu ya kero ni ni kuwa na serikali moja.
Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, Then "Twende kwenye Serikali Moja!".

P
 
Una maana kuongozwa na mwanamke u don't feel uanaume? Yaani unaonesha hata mama yako unamdharau. Hakika mkeo, kama umeoa, na binti zako, kama unao, kwako ni takataka.

Nani kama mama!

DUH, ukistaajabu ya Musa utaona ...
Mwanamke is nothing mbele ya mwanaume toka day 1! Unataka ushahidi wa maandiko ya Biblia au kitabu chochote cha imani?
.
The issue here is hayo matamthilia ya kike kike na sio kingine, acha kuyatizama.
 
Mwanamke is nothing mbele ya mwanaume toka day 1! Unataka ushahidi wa maandiko ya Biblia au kitabu chochote cha imani?
.
The issue here is hayo matamthilia ya kike kike na sio kingine, acha kuyatizama.
Wanawake ni mama zetu na wake zetu au dada zetu.
Kuna wanawake dunia hii hii wameonesha competence kubwa sana hata kuliko wanaume.

Goder Meir Israel
Angela Merkel Ujerumani
Thatcher Margaret Uingereza
These are all iron ladies.

Nadhani ni busara tujikite kwenye hoja na pasi kuwabagua wanawake. Na nadhani ni vema kwenye uongozi wanawake wapewe kuongoza based on competence na sio jinsi.
 
Sir Hakuna aliyekataa hayo.

NACHOKATAA MIMI NI MWANAUME KUANGALIA TAMTHILIA ZENYE MAUDHUI YA KUMLAINISHA! nadhani tunaelewana.
 
Teh teh kulainishana tena
Mlenda kabisa.
Mwanaume ameketi kwenye sopha na mkewe, watoto, shemeji yake, mdogo wake (wakiume) wanaangalia sultani ahahahaha!

Enzi za mzee wangu yuko on fire anakufumua utaugulia maumivu siku mbili, nina mtoto mmoja wakiume yeye akiona tamthilia za kihindi, kifilipino, kilatin zile zilizotafsiriwa kiswahili anaenda zake kusoma au anaenda kukaa kwenye computer anacheza game.
Sijawahi kumwambia asiangalie tamthilia zakike na najua hadi sasa atakuwa anaendelea kufanya hivyo, huyu ndo mwanaume sasa.
 
Umesharendemka sio kosa lako.
Acha kuangalia hayo tafuta horror movies.
.
Alafu acha kunipa links za nyuzi zangu zisome utapata funzo watu ni ma-legendary.

 
Indonesia ina Wasialamu wengu Dunian kuliko nchi yoyote na isha ongozwa na mwanamke


Zanzibar kuna mfumo dume kama hujui, Wewe uliona Zanzibar mwanamke aliyeolewa anakwenda kuhemea sokoni??, huo ni mfano mmoja tu.
 
Mkuu, katiba inasema Rais wa Zanzibar ni mjumbe wa baraza la mawaziri kwa nafasi yake chini ya uenyekiti wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Haitaji kuwa waziri au waziri asiyena wizara.

Wengine ni makamu wa rais, waziri mkuu na mawaziri wake isipokuwa manaibu waziri hawana sifa ya kuingia kwenye cabinet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…