mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Rais wa zanzibar ni maalim seif hamad.
Kama uchaguzi utakuwa huru na HAKI.
Kama uchaguzi utakuwa huru na HAKI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule jamaa ana "laana" ya JKN; Kama alishindwa kupata nomination visiwani 1985 ili we sehemu ya cabinet; basi kama ambavyo EL na Mzee Malecela walikosa sifa za kupenya 5bora; ndiyo same principle inayomfanya huyo "kipenzi cha wapiga kura wa kisiwa chake" kukosa sifa. Bahati mbaya mtoa laana alishatangulia mbele za haki
It's normal kwa watoto waliokulia Ikulu, kuja kuwa marais, hivyo ikitokea baada ya Mwinyi akaja Mwinyi, tulikuwa na Karume, akaja Karume, jirani tuna Kenyatta na Kenyatta, DRC Kabila na Kabila, . Kati ya nchi 54 za bara la Africa, nepotism kwenye urais nimetokea mara 38! Na sio Africa tuu,hata US kulikuwa Adams na Adam's, na Bush na Bush, India Gandhi na Gadhi, Pakistani Bhutto etc.
2015 Makongoro aligombea.
Hivyo hakuna cha ajabu.
P
Good Explaination Mr. PSuala la account ya pamoja, kweli bado ni changamoto, kwasababu serikali ya JMT ndio serikali ya muungano kwa mambo yote ya muungano, at the same time, serikali hii hii ya JMT ndio serikali ya Tanganyika kwa mambo yasiyo ya muungano hivyo kwa wizara zote za muungano zina a single budget kwa muungano na Tanzania bara, mfano wizara ya elimu kwa elimu ya msingi sio ya muungano ni Tanzania bara, na wizara hiyo hiyo kwa elimu ya juu ni ya muungano, kwenye budgeting inaandaliwa budget moja.
The same applies kwa mapato, TRA inakusanya mapato yote ya shughuli za muungano na shughuli za Tanzania bara.
Ili ifunguliwe account ya pamoja, ni lazima mapato yote ya muungano yatenganishwe na mapato ya Tanzania bara, halafu hayo mapato ya muungano ndio yafunguliwe account ya pamoja ambayo Zanzibar pia nitachangia. Baada ya kuyajua mapato ya muungano, inatakiwa iandaliwe budget ya kuendesha muungano, mapato ya muungano yasipotosha kugharimia kuendesha muungano, then serikali ya Tanganyika na serikali ya Zanzibar zinachangia kwa uwiano wa asilimia 4.5% Zanzibar na asilimia 95.5% Tanzania bara.
Ili hili liwezekane kwanza lazima tuwe na serikali 3, serikali ya Tanzania Bara, serikali ya Muungano na serikali ya Zanzibar. Mapato yote ya muungano yatatenganishwa na kuweka account ya pamoja ambayo ndio sasa itagharimia muungano.
Jaji Warioba ni muongo?!- BLW halikupendekeza serikali tatu!-Mhe.Pandu Ameir Kificho!.
Solution ya kudumu ya kero ni ni kuwa na serikali moja.
Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, Then "Twende kwenye Serikali Moja!".
P
Ukitamka Jamhuri ya Muungano Tanzania, protokali inambeba Makamu wa Rais wa JMT ambaye Ni Samia SULUHU Hassan .N
Naomba ushauri, kisiasa makamu wa raisi TZ na raisi wa Zanzibar nani zaidi?
Hii nimeipenda sana Mr.PSolution ya kudumu ya kero ni ni kuwa na serikali moja.
Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, Then "Twende kwenye Serikali Moja!".
hakuna mfumo wa kijamii wala baba ake wakikubali wabara ndio yupi awe rais ndie anayetangazwa
Hawezi kujibu hilo,Mwaka 1964 mapinduzi yalifanywa na jeshi lipi ?
Niliwahi kumsikia Juma Duni Haji akizungumza maslahi ya Zanzibar kwenye uwekezaji wa BOT.Deni la umeme lazima muwasamehe,wao wana madeni makubwa wanakudaini, lakini kwa sababu wao ni wastaarabu, kwavile wanakuchukulieni kama ndugu,wanakuwa hawapigi kelele Sana kuhusu madeni wanayokudaini..
Hivi unajua kuwa Benk of Tanzania (BOT) imeundwa kwa Pesa za Zanzibar,..
mkawaahidi Wazanzibari kuwa mtawalipa faida kwa kila kinachopatikana kutoka BOT
Je mnawalipa?je unajua ni kiasi gani Zanzibar inaidai Tanganyika?..
KuhusuDeni la umeme, Watanganyika hawajawasamehe Wazanzibari Deni hilo,isipokuwa wanapunguza deni wanalodaiwa..
Kwa wale? Wasiofahamu nini kinaendelea ndio,mnaambiwa kuwa Zanzibar imesamehewa deni la Umeme, lakini ukweli sio huo
Hahahaaa nilijuwa utamsingizia Okelo pekeyake kwa dhambi hii ya mauwaji (Genocide) ili Tanganyika ya Nyerere na Kambona iwe safi, lakini si alikuwa na kikosi chake,Okello angawafyeka wote kabisa wa jamii ile!, alikuwa sio mtu wa mchezo mchezo!, alikuwa anakwenda kufanya kufanya genocide.
Nimefuatilia malumbano yako na Paskali, nimeona ipo haja ya wataalamu wa historian na waandishi wa kale watusaidie kupanua Nini kilijiri kwenye Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.Hahahaaa nilijuwa utamsingizia Okelo pekeyake kwa dhambi hii ya mauwaji (Genocide) ili Tanganyika ya Nyerere na Kambona iwe safi, lakini si alikuwa na kikosi chake,
wale watu waliotokea SAKURA umewasahau, wengi wao tunaohapa zanzibar na vizazi vyao wanaishi hadi leo wapo maeneo ya KWAHANI,MAKADARA,JANGOMBE,MEYA ,MAGOMENI , SEBLENI NA kwengineko. Tena bado hadi leo wanajifaharisha kufanya Mambo yale na Okelo. Genocide,na ethnick cleansing ilifanyika hapa unguja kwa kisingizio cha Mapinduzi.Hata Mzee Karume Hakuridhia matendo yale kufanyika katika kiwango kilelakini kambi ya Sakura ilishapanga Ubaya Ule chini ya Mr X
Pascal Malizia hapo wewe unajua mengi
Umeandikaa stori refu Sana..Cha muhimu ambacho hujakiandika ni kuwa Tanzania ni Muungano wa nchi mbili..Tangayika na ZanzibarNiliwahi kumsikia Juma Duni Haji akizungumza maslahi ya Zanzibar kwenye uwekezaji wa BOT.
Akisema Zanzibar wanamiliki hisa 11 na 89 Tanganyika.
Haya twende kwenye factor za uwekezaji. Gawiwo linatolewa baada ya mapato na matumizi.
Kama Ni kweli hebu jiulize Ni miradi mingapi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania serikali iliwahi kupata gawiwo lake kwa wakati kwa kipindi chote Cha miaka Hamsini na ushehee ya Muungano wetu.
Pili kwenye uwekezaji Kuna kugawana hasara na madeni yanayitokana gharama za uendeshaji. Je Ni Mara ngapi Serikali JMT iliwahi kupata hasara ya uwekezaji.
Je ,tukifanya tathimini ya ufilisi wa Amana na uwekezaji pale BOT bado Zanzibar wanamiliki 11?
Tatu ,michango na Gharama za uendeshaji wa serikali ya JMT Zanzibar anachangiaje? Bado anamudu kulipia gharama za ULINZI, kwa maana ya majeshi ya JWTZ na vikosi vyake?
Jeshi la polisi,Usalama wa Taifa.
Nakutolea mfano huu ili ujifunze kutokuwa na ushabiki Bali uwe unajenga hoja kwa misingi mbali mbali.
Ukija ukapewa hesabu za mapato na matumizi na hasara tuliyoipata, then maamuzi ya ufilisi yakafanywa na RITA na yumkini baada ya evaluation mkaambiwa kwa Hali Leo uwekezaji wa ZanIbar BOT sio wa 11% utafanyaje? Au ukiambiwa hamna kabisa utafanyaje?
Sioni dalili za kuongezeka kwa uwekezaji wa Zanzibar BOT kwa trend ya uchumi wetu baada ya anguko kubwa lililotokana na Vita ya KAGERA.
Saada mkuya anajua thamani ya uwekezaji wenu BOT lakini hakuwahi kusema kwa majivuni hivi nadhani alijua ukweli wa Mambo.
Nikusaidie tu pale BOT TRA wanashea akaunti ya Mapato kwa misingi wa UTAKULA ULIPOPELEKA MBOGA.
Fuatilia vizuri
*Ukinunua vocha bara ukaongea kiduchu bara Kisha ukaimalizia Zanzibar.
Mgawanyo Kodi ya Ile vocha utategemea dk ulizotumia bara na visiwani.
*Ukichanja kadi ya ATM bara Kodi Ni bara, ukichanja Zenji inabaki huko.
*Ukinunua Gari Zanzibar sajili na ulitumie hukohuko na ukinunua bara litumie hukuhuku kinyume chake uwe permitty ya muda yenye kuineaha kuwa utarudi upande mwingine baada ya muda other wise sajili upya.
Ndio maana Zenji kumiliki ndiga Ni rahisi kuliko bara.
*Diamond kafungua TV Zanzibar, bara kafungua kituo Cha kuzalisha vipindi.hapa Kuna KAMPUNI mbili tofauti.moja inamiliki Tv na nyingine inamiliki uzalishaji na watangazaji .
Haya ndio masharti ya TCRA na ZCRA
Fee ya leseni analipa Zenji, Kodi ya Mapato anakupa bara, jiulize kwa Nini hv.
Jibu Ni UTAKULA ULIPOPELEKA MBOGA.
Unganisaha na kitabu cha Ghassani ''Kwaheri Mkoloni Kwa heri Uhuru''Nimefuatilia malumbano yako na Paskali, nimeona ipo haja ya wataalamu wa historian na waandishi wa kale watusaidie kupanua Nini kilijiri kwenye Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Kizazi Cha leo na hususani jamii Forums tunaye YERRICKO NYERERE . nimesoma nakala ya kitabu chake Cha Ujasusi wa kidola na kiuchumi ukurasa 99 mpaka 159 amejibu kwa ufasaha Jambo mnalolibishania.
Nitoe Rai kwa moderator wamtafute Yerricko na kuzingatia Faida za imma wa Watanzania atoe idhini andiko lake la kwenye kitabu lisomwe na Kila mmoja bure ili kutuongea maarifa na Nini chanzo Cha Mapinduzi na hatma ya kifo Cha karume.
Nimeshindwa kuposti screen shot za kitabu kwa sababu lazima tuheshimu haki miliki ya uandishi wa Yerricko. Vinginevyo wote mko sahihi.
Nawasihi tuendelee na ndoto na kupeana mawazo mazuri Kila siku sababu sisi Ni watu wa fikra pevu.
View attachment 1464289View attachment 1464290
Hamna nchi iitwayo Tanzania Bara au unakusudia TanganyikaRais wa Tanzania bara ni nani ?
Hiyo kauli ulitakiwa kumwambia Paskali mayalla. Mimi nimeinukuu kutoka kwake.Hamna nchi iitwayo Tanzania Bara au unakusudia Tanganyika
Ahsante ,niendelee kutoa wito kwa mods waombe idhini za waandishi wa hivi vitabu , waridhie maandiko yao kusomwa hadharani hapa jamii forum kwa Faida ya umma kujifunza walichokiandika.Unganisaha na kitabu cha Ghassani ''Kwaheri Mkoloni Kwa heri Uhuru''
Kina mambo ya research ya kuihusu Zanzibar , lakini nadhani Pascal hakipendi kitabu hiki kwa sababu za Utanganyika tuu na kuukataa ukweli.
Huyu Hapa Muasisi anaema kweliUmeandikaa stori refu Sana..Cha muhimu ambacho hujakiandika ni kuwa Tanzania ni Muungano wa nchi mbili..Tangayika na Zanzibar
Katika huu Muungano nchi ya Tanganyika imejificha kwenye mgongo wa Tanzania,yaani ni sawa na kusema kuwa serikali ya Muungano Ni serikali ya Tanganyika...
FIFA,Mikopo,Misaada ya nje yote yanafikia kwenye Serikali ya Muungano ambayo ni serikali ya Tanganyika..
Kwa maana hiyo Zanzibar lazima iombe gawio la Msaada au mikopo ya wafadhili kutoka katika serikali ya Muungano aka serikali ya Tanganyika..
Tangayika inaraidika zaidi kwenye huu Muungano zaidi ya Zanzibar, Zanzibar ni nchi ndio watu wake Ni kidogo,Msaada mdogo tu unaweza kuibadilisha Zanzibar pakubwa Sana
Zanzibar haihitaji.Mungano, Tangayika ndio inayouhitaji.huu Muungano,period